Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, July 10, 2013

RONALDO NA MESSI WALIVYOJIACHIA POOL PARTY NA TOTOZ

clip_image002
Baada ya pilika za michuano ya Amerika ya Kusini na ile ya nchini Marekani, mwisho wa siku Lionel Messi alipata nafasi ya kujiachia pale aliposhiriki kwenye pool party iliyofanyika ndani ya Las Vegas.
Pati hiyo iliandaliwa na Ronaldo De Lima pamoja na wenye Hotel, Messi alihudhulia pati hiyo iliyokuwa na vimwana hatari waliokuwa wamevalia mavazi ya kuogelea, akiwa pia na kaka zake Matias na Rodrigo.
Messi na Ronaldo hawakuwa wacheza soka pekee kwenye tukio hilo, mchezaji wa zamani wa Brazil Djalminha pia alihudhulia.
Cheki picha zaidi kwenye pati hiyo hapa chini...
 clip_image002[6]clip_image002[8]

No comments: