Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, February 1, 2011

 KIZAAZAA MV MAGOGONI: BIMU YAKATIKA KATIKATI YA BAHARI

 


  Jana jioni katika kivuko cha magogoni mv magogoni ilikatika bimu ya kushushia abiri na mizigo katikati ya bahari,tukio hilo liliwastua watu wengi hususani abiria waliokuwemo ndani ya kivuko hicho.

  Habari zinasema kwamba ilifikia wakati watu walitaka kujitupakwenye maji kwa kile kinachozaniwa kumeguka kwa bimu ndiyo mwanzo wa kuzama kwa kivuko hiko lakini hakuna hata abiria mmoja aliepoteza maisha japo foleni ya abiria na magari imekithiri kwa sasa.


 MIILI YA VICHANGA 10 VILIVYOTUPWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

  Miili hii ya watoto  wachanga waliokutwa waliokutwa wamechimbiwa shimo la futi moja karibu na hospitasli ya mwananyamala,hali hii imezua gumzo kwa wakazi wa Dar pamoja na hayo kamanda wapolisi wa wilaya kinondoni Bw.Jordan Rugimbana atatoa ufafasnuzi siku ya leo


KAMPUNI YA TRUCKS YAKABIZI MALORI YA TAKA MANISPAA YA ILALA

Mkurugenzi wa Kampuni ya G.F Trucks & Equipment Ltd, Imran Karmal (kushoto) akimkabidhi mfano wa funguo, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi malori sita ya kuzolea taka kila moja likiwa na thamani ya Sh. Milioni 115 kwa Manispaa hiyo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo Barabara ya Nyerere Dar es Salaam leo mchana. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni hiyo, Mehboob Karmal. Wapili (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Jamii na Uchumi, Angela Malembeka. Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya G.F Trucks & Equipment Ltd, Mehboob Karmal (kulia) akimuonyesha Meya wa Manispaa ya Ilala, Jrry Slaa, Malori manne kati ya sita, yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Manispaa ya Ilala kwa ajili ya kuzolea takataka, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya magari hayo iliyofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo Barabara ya Nyerere Dar es Salaam.
Meya wa Ilala, Jerri Slaa, akizungumza wakati wa hafla hiyo.http://sufianimafoto.blogspot.com/


     USIKU WA MAPACHA WATATU
Shikide..mama sema shikide...shiikide..!!1


Best dressed at the Screen Actors Guild Awards

Mila Kunis in Alexander McQueen

Awards season are here and while the nominations and winner announcements are enthralling, the red carpet walk deserves special mention. With Golden Globes already setting the bar high with swooning gowns and luscious make up, the Screen Actors Guild Awards (SAGs) saw television and Hollywood stars out on the red carpet dressed in all their finery.

A-listers, Lea Michele, Natalie Portman, Nicole Kidman put on their Sunday best as they posed for paparazzi. Only an entrée to the grand finale, the Oscars to be held on 28th February, SAGs red carpet saw designs from Oscar de la Renta to Azzaro battled it on the red carpet for the title of the best dress providing a visual treat to fashion lovers.

No comments: