Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, February 14, 2011

 MY HOTTEST VALENTINE 2011
  Am Magese,(picha hii imepigwa leo kwa kwa simu ya kichina)
    I dedicate my lovely shout-out to my blog visitors,my company Unique Entertainment,my blog uniqueentetz.blogspot.com,my x-gafrnd P and all my funs.




\HISTORIA YA SIKU YA VALENTINEs DAY: CHANZO CHAKE NI UPAGANI


Sikukuu ya wapendanao inasherekewa kila ifikapo tarehe 14 mwezi wa pili kila mwaka.
 Makanisa mbalimbali wameamua tu kuhalalisha siku hii kama ni siku takatfu lakini ukweli ni kwamba hii ilianzia huko nchini Italy ambapo siku kam ya leo ilichezwa ngoma usiku kucha watu wakila,kunywa pombena kucheza ngoma kwani ilikuwa ndiyo sherehe ya kuchagua wachumba.
  Sherehe hizi za ngoma ya kijadi ziliazimishwa kila mwaka amapo vijana walijiopolea mademu na kwenda kulala nao kama wachumba na kama kijana hakulizika kesho yake anamuacha ila isipite siku mbili anakuwa wakwako daima kama mke na mume.pombe iliwekwa katika majani ya miti maalumu na waschana walikuwa wanapata fulsa ya kukata mauno ili wachaguliwe mapema na mtu atakaevutiwa nae.

Watu wengi wanaosherekea siku hii kwa Nchi za Afrika Mashariki ni vijana walio kati ya miaka 18 hadi 35.
Historia ya sikukuu hii inaanzia miaka mingi jijini, Roma, Italia ikiwa inahusishwa na mtakatifu Valentine au Valentinus aliyekuwa akiishi jijini humo katika karne hiyo. Wakati wa maisha ya mtakatifu Valentine Roma ilikuwa ikitawaliwa na Kaisari, Claudius II, ambaye alipata hisia wakati huo kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyekuwa na mke wala familia .Claudius alilifanyia kazi wazo lake na aliamua kupiga marufuku ndoa zote kwa askari wa nchi hiyo, jambo ambalo halikukubaliwa na mtakatifu, Valentinus. Hivyo Valentinus alichukua jukumu la kukaidi amri ile na kuendelea kuwafungisha ndoa kwa siri maaskari waliokuwa wakitaka kufungishwa ndoa.

                   Mtakatifu valentino enzi za uhai wake.
  Haikuchukua muda mrefu, taarifa zilimfikia mfalme, Claudius na alipopata habari hizo aliamuru kukamatwa na kufungwa gerezani na kisha Valentinus aliuawa kwa amri ya Kaisari. Kuna taarifa zinadai kuwa kabla ya kuuawa kwa Valentine wakati huo akiwa amefungwa, mtakatifu Valentine aliandika barua ya salamu kwa binti aliyekuwa amekwenda  kumsalimia gerezani. Na mwisho wa barua kulisomeka maneno yaliyoandikwa ‘From your Valentine.’
Tangu hapo Valentine akawa anakumbukwa kama mtetezi wa wapendanao na siku hii ikawa inaadhimishwa duniani kote.
Baada ya kufariki kwa mtakatifu huyo ndipo wananchi wengi duniani wakaamua kuadhimisha siku hii kama sherehe ya kumkumbuka Mtakatifu Valentinus.

hapo chini mfano tu wa vijana wa kitaliano walivokuwa wanajibebea totoz katika ngoma ya kipagani kuazimisha siku hii ya malavidav kwa kuchagua wapenzi wapya ama wake kijadi

No comments: