NI KAMA WANAONGEA ..CHEKI JISTORI lenyewe SASA...yaliyomo yamo??...yamooo KIJANA: dada mambo vipi mi ni handsome unanionaje..? BINTI:: yaa...unavutia hasa msuko.. balaa.... KIJANA: hata..wewe una mvuto sana.. BINTI: mmmh... siamini kweli ??.. KIJANA: aaah nipatie namba yako kiganjani...siunajua mi sibipu natwangaga kotekote BINTI: ok usijali..
KIJANA: asante kwa namba ntakupigia 29t...!! BINTI: ntashukuru kuskia sauti yako..lakin....lakini.... usimwambi mtu eti....
No comments:
Post a Comment