madereva na makonda wakiwa wanagomea nauli maeneo ya kirumba katika uwanja wa furahisha.
Mgomo wa daladala umetokea leo jijini mwanza baada ya madereva daladala na makondakta kugomea kutoza nauli ya Tsh 250 badala ya 300 angali mafuta yako juu,madai yao hawapati faida.
Wanafunzi wakipiga ngondi kwenda skonga,magari hakuna jijini mwanza.duuu..!! migomo kila mahali mwaka huu.
VITUKO VYA ROSE NDAUKA KATIKA PICHA
Hili ni busu la kutoana damu..ful kuchubuana ngozi best. hee we kaka utamtoa roho mwenzio
Waandamanaji waondoka mitaani Misri
Maelfu ya waandamanaji nchini Misri wameondoka katika eneo la wazi la Tahrir katika mji mkuu wa Cairo, baada ya utawala wa kijeshi kuahidi kuisitisha katiba ya nchi hiyo na kulivunja bunge.
Tangazo hilo limepokelewa vyema na waandamanaji wengi, wakiona kama kuvunjika kabisa kwa utawala uliopita, ingawa jeshi bado lijajitahidi kuondoa waandamanaji sugu katika eneo la Tahrir.
Rais wa Misri aliondka madarakani siku ya Ijumaa, baada ya siku 18 za maandamano.
Kwa siku ya pili mfululizo, polisi wa kijeshi walikuwa wakiwataka waandamanaji kadhaa waliosalia kuondoka katika eneo hilo. Baadhi yao wamesema wametishiwa kukamatwa iwapo hawataondoka.
No comments:
Post a Comment