Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, February 20, 2011

WABUNGE NI MAFISADI PIA!


 Huyu ni mtanzania aliepiga kura kwa mbunge wake anaeendesha gari la ml 90,mshahara 12ml kwa mwezi na maposho ya kumwaga.

Ikiwa hali ya uchumi wa nchi yetu si njema sana,wabunge wetu wamekuwa wanalipwa mishara ya juu sana kulingana na kipato cha mpiga kura.
    Hivi karibuni wabunge wamekuwa wakiulizia fedha 90 ml za kununua magari(mkonga),ikiwa wanalipwa mshahara wa 12ml kwa mwezi na posho ya siku moja ni mshahara wa mwalimu.
   Kila siku wamekuwa wakiziandama DOWANS,KAGODA n.k,lakini hawazungumzii juu ya mishahara na posho zao kubwakubwa ambapo wananchi waliowachagua wanaishi chini ya us$ 1.
   Je hakuna busara ya kupunguza hiyo mikopo ya magari mkaendesha magari ya 20ml na 70 ml ikaenda kubooresha sekta ya afya,kwani 70 ml inajenga zahanati moja ya kisasa ambayo itahudumia watu zaidi ya 10,000 vijijini.
  Kwa hali hii inajengeka tabaka la wenye fedha na wasio na fedha kitu ambacho kitazaa madhara makubwa sana kwa kizazi kijacho.
   jipunguzieni mishahara jamani kuna watanzania wenzenu mpaka wanakufa huo mshahara wenu mmoja haupati toka azaliwe mpaka anakufa.


KULA ZAIBWA UCHAGUZI MKUU UGANDA
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda ameelezea uchaguzi mkuu nchini humo kuwa ni "kashfa ya kushtua" akidai kuwepo njama ovu za kuiba kura.
Kizza Besigye
Adai uchaguzi ulikuwa ni "kashfa ya kushtua"
Akizungumza na waandishi wa habari Jumamosi jioni mjini Kampala, Kizza Besigye wa muungano wa vyama vya kisiasa, Inter-Political Parties (IPC), alimshtumu Rais Yoweri Museveni, jeshi na polisi kwa kuhusika na kile alichokieleza "Kashfa ya kushtua".
Kwa mujibu wa Besigye, "mazimwi walipiga kura katika uchaguzi huo kwa kuwa daftari la wapigaji kura limejaa majina hewa".
Besigye, ambae aliwahi kuwa daktari binafsi wa Rais Museveni, alidai kwamba vikosi vingi vya kijeshi vilipelekwa wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusambazwa katika pembe zote za nchi hiyo "vikitishia kuzuka vita "ikiwa Rais Museveni hatashinda uchaguzi huo.
Besigye alisema ameitisha mkutano wa viongozi wa muungano huo wa vyama ili"waamue wachukue hatua gani".
Aliongeza kusema kwamba upinzani "hautakwenda mahakamani kwa kuwa nguvu ya mwisho iko mikononi mwa wananchi ".
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Museveni anaelekea kupata ushindi huku Besigye akishikilia nafasi ya pili..


  BANGI,GONGO,FEDHA BANDIA VYAKATWA JIJINI MWANZA
Hayo yamebainishwa leo na Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa mwanza Simon Sirro wakati alipozungumza na waandishi wa habari mbele ya ofisi zake huku akionyesha baadhi ya vidhibitisho hivyo vya madawa mbalimbali ya kulevya yaliyokamatwa na jeshi lake.
Misokoyo na mitenba ya bangi iliyonaswa.
Madawa mengine yaliyokamatwa ni pamoja na mirungi kilo 3,769.106, Gongo lita elfu 10,638, na Noti bandia zenye thamani ya shilingi milioni sita laki saba tisini na tano elfu.

Kutoka TBC1 Richard Leo akiripoti....Kupitia misako mbalimbali kwa mwaka 2010 hilo limefanikiwa kukamata gramu mia mbili na kumi za madawa ya kulevya aina ya Cocaine na kiasi cha gramu mia sita hamsini na tatu za madawa ya kulevya aina ya Heroine.


MODEL OF A WEEK 
Model (Keishia dior),actress, and fashion stylist – this curvy Jamaican beauty from Miami does it all, and looks good doing it.  She’s been featured in XXL and Hip Hop Weekly.
Keyshia has modeled and styled for some the hottest music videos like “4 My Town” with Birdman featuring Lil Wayne and Drake. She’s also has done “Bed Rock” with Lil Wayne Nicki Minaj, Drake, Tyga, and the Young Money family. Ms. Dior had a recent starring role playing Lisa, the jealous ex wife, in Timbaland’s mini movie video entitled “Say Something”, which featured hip-hop’s rising superstar Drake. She made a cameo appearance in Lil Wayne’s “She’s On Fire” rock video. In the styling part of her career, she has styled many well known celebs from artist to athletes.
a White just showed why she's one of the sexiest model chicks to hit the pages of Sports Illustrated. The 2011 Swimsuit Edition recently hit shelves, and J. White is one of the few black models showing her 26-year old goodies. The beauty was also featured in the 2009 issu
  84 WAUAWA LIBYA
 Wagombea haki za kibinaadamu wanasema watu kama 84, wameuawa katika maandamano nchini Libya.
Waandamanji nchini Libya
Waandamanji nchini Libya
Mwandishi wa BBC, katika Mashariki ya Kati anasema hata hivyo, idadi hiyo iliyotolewa na shirika la Human Rights Watch, inaweza kuwa ni ndogo.
Fujo nyingi zimetokea katika mji wa Benghazi ambako inaelekea wapinzani wa serikali wanadhibiti mitaa kadhaa.
Inaarifiwa kuwa kikosi maalumu cha jeshi, sasa kimewasili mjini humo.
Pia kuna mapambano katika miji kama mitano mengine.
Ghasia kidogo pia zimetokea katika mji mkuu, Tripoli, shina la madaraka ya Kanali Ghadaffi.

No comments: