Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, March 12, 2011

BEI MPYA YA SUKARI IKO KISIASA ZAIDI

            Mh. Mizengo pinda

  Ile amri ya serikali kuwataka wafanyabiashara kushusha bei ya sukari toka 2200 kwa kilo mpaka kufikia 1700 imezua mizengwe mingi nchini kwani viongozi wakati wanatoa kauli hii walitakiwa kufanya uchunguzi kwanza kwani mfuko wa sukari wa kg 25 unauzwa elfu 44 mpaka 45 kitu ambacho kinawashinda wanyabiashara wa rejareja kuuza sukari hiyo kwa 1700Tshs kwa kilo.   
  Hii inatokana ukweli kwamba wakati kauli hii inatoka wauzaji wa jumla walikuwa na stock kubwa ambayo waliinunua sukari hiyo kwa bei ya juu,kama serikali itaweza kuwafidia itakuwa makini zaidi ili sukari ishuke  bei nchi nzima badala ya kustuka kuwa kiwanda kiko hapo na bei ya sukari inauzwa ghali kama sehemu ambazo hazina kiwanda karibu.

Explosion at Japan nuke plant, disaster toll rises

IWAKI, Japan – An explosion at a nuclear power station Saturday destroyed a building housing the reactor amid fears that it was close to a disastrous meltdown after being hit by a powerful earthquake and tsunami.
Friday's double disaster, which pulverized Japan's northeastern coast, has left 574 people dead by official count, although local media reports said at least 1,300 people may have been killed.
Tokyo Power Electric Co., the utility that runs the Fukushima Dai-ichi plant, said four workers had suffered fractures and bruises and were being treated at a hospital. A nuclear expert said a meltdown may not pose widespread danger.
Footage on Japanese TV showed that the walls of the reactor's building had crumbled, leaving only a skeletal metal frame standing. Puffs of smoke were spewing out of the plant in Fukushima, 20 miles (30 kilometers) from Iwaki.
"We are now trying to analyze what is behind the explosion," said government spokesman Yukio Edano, stressing that people should quickly evacuate a six-mile (10-kilometer) radius. "We ask everyone to take action to secure safety."
The trouble began at the plant's Unit 1 after the massive 8.9-magnitude earthquake and the tsunami it spawned knocked out power there. According to official figures, 586 people are missing and 1,105 injured. In addition, police said between 200 and 300 bodies were found along the coast in Sendai, the biggest city in the area near the quake's epicenter.


BONANZA LA WAANDISHI LAFANA CINE CLUB
        Wandishi wakiserebuka kwenye bonanza
Waandishi wakicheza mpira

MODEL OF A WEEK: NUNU WAKO
Ethiopian-born and American-raised Nunu Wako is a model on the rise; After booking campaigns for Nautica Jeans and being featured on BlackMen Magazine the sky is the limit for this voluptuous model!
Nunu wako

POZI LA WIKI HII KATIKA PICHA

     Braaaa.....!
                   Mashrwaaaah...

SHAROBARO AMDUWAZA MCHUNGAJI WA LOLIONDO

Inasemekasna mwishini mwa wiki hii chekibobu mmoja ambaye amezoea kunywa juice kwa mlija alitinga loliondo kupata tiba ya Gonjwa sugu na baada kufika zamu yake kunywa dawa kwa vikombe viliopo blazameni huyo aligoma kwa madakika ndipo mchungaji Ambikile akamuuliza keanini  kasita.
  Sharobaro huyo aliomba apatiwe mlija ili anywe kitozi zaidi kama alivyozoea kunywa vinywaji baridi kwa kutumia mlija. "Natakaka mlija ..men!..sijazoea kabisa kunywa kiswahili men!.." kijana huyo aliongea kisharobaro.





 GOLDEN  SAND BEACH NEAR BY MKADI
(disco la nguvu na Dj master k) Totoozi wa kumwaga!!
 Kila jumamosi na jumapili kuanzia saa kumi jioni hadi saa sita usiku....Kigamboni. kiingilio sawa na buree..!!

RAPA PACHA IZZ ACHOMWA KISU NAKUPOTEZA MAISHA

WATENGWA WAKIWA KAITKA PICHA YA PAMOJA
Mmoja wa Artist anayeunda kundi la Watengwa toka Kijenge ya juu pande za A-Town,Pacha Izz ameuwawa kwa kuchomwa kisu. Kwa mujibu wa Jacob Makala aka Rapper JCB toka Kundi la Watengwa,tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana pande za Clock Tower pale City Center na kulitokea kupishana kiswahili na Changudoa akitokea Club,Na baada ya kufanya tukio hilo Dada huyo alikamatwa na kupelelekwa Polisi na Mama mzazi wa Marehemu Pacha Izz aliomba huyo dada aachiwe! Kwa sasa mipango ya mazishi bado inafanywa na hajajulikana Pacha Izz atazikwa lini.Na tukio hili linafanana na lile la kuchomwa kisu kwa Hip-Hop Artist toka kundi la X-Plastaz,Marehemu Chrizostorm Buchard aka Faza Nelly,March 26 2006 jijini Arusha na kichaa toka pande hizo.
REST IN PEACE....PACHA IZZ



RICHA ADHIA KUOLEWA HIVI PUNDE
Ket qua phan thi trang phuc ao tam cua Miss Earth 2006
Miss Tanzania 2007/08, Richa Maria Adhia (pichani), hivi karibuni amevishwa pete ya uchumba na mwanaume aliyefahamika kwa jina moja la Hribhana.
Akizungumza na mwandishi wetu katika mahojiano maalumu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Richa alisema kuwa, amefikia hatua hiyo baada ya kuona kuwa mwanaume huyo ana sifa za kuwa mumewe.

Alisema kuwa, katika maisha yake amekuwa akiomba ampate mwanaume ambaye wanaweza kutengeneza maisha yao kwa amani na furaha na hatimaye ndoto yake imetimia.

“Nimechumbiwa na mwanaume anayeitwa Hribhana mwenye asili ya Bara la Asia, alinivisha pete…


Rihanna for Nivea

Rihanna for Nivea 
s part of its 100th anniversary celebrations, Nivea has roped in Rihanna to be its new face. The campaign has the red headed beauty posing nude, flaunting her sheer perfect skin. With a youth icon as its spokesperson, the skincare giant hopes to add younger fans to its list of faithful users. Starting May, Nivea will also be sponsoring a multi city tour across North America and Europe for Rihanna. Other centennial celebrations include a “Thank you” event for its consumers and a skincare advisory tour across 75,000 cities globally.
“Over the past 100 years, NIVEA has been an iconic skincare brand across the world that is built on the trust of our consumers. We are excited to have Rihanna supporting us in our celebration and building a new generation of fans,” said Markus Pinger, member of the board,

Njia bora ya kutatua migogoro ya kimapenzi.

 
Uwezo wa Mungu ni wa ajabu mno. Amefanya mambo makubwa kunifanya mimi na wewe tuwe hapa leo na kufanya yanayoonekana sasa. Ni kupitia pointi hiyo moja tu, nitaendelea kumhimidi na kulitukuza jina lake kila siku katika maisha yangu yote.

Tuanze somo letu; Migogoro ya kipamenzi inawagusa wengi, na watu wengi wanapenda kuondoa tofauti walizonazo na wenzi wao, lakini wanakosa utaalamu ‘tekniki’ za kutafuta suluhu.

Watu wawili ambao hufanya uhusiano wao uwe wenye afya, pia ni katika idadi hiyo hiyo ambayo husababisha penzi lao lisifike popote. Sababu ni ipi na utofauti huu unasababishwa na nini?
Penzi ni fumbo zito, ndiyo maana huwaunganisha hata wale wenye njozi zinazosigana.

Inawezekana kicheche akadumu kwenye penzi lake mpaka watu wakashangaa, wakati mtu anayesadikiwa ni mtulivu akawa anahama uhusiano mmoja kwenda mwingine kila siku.

Kimsingi, ipo njia moja tu ya kutatua migogoro na ukiweza kupita, hautosumbuliwa na jinamizi la kuacha au kuachwa kila siku. Hakuna mtihani usio na jibu, wanaodumu wana nini na wewe unayehamisha penzi kila siku una matatizo gani?

Haukuumbwa na matatizo, ila aina ya migogoro kati ya mtu na mtu, inatokana na kiwango cha hasira, busara na ustahimilivu walionao wahusika.

Mwanasaikolojia, Larry James ambaye anamiliki blogu na tovuti ya Love Celebration, anasema kuwa migogoro haiwezi kukua na kusababisha watu wawili watengane kama wahusika watajiuliza swali moja tu. Ni nani amekosea?

Hapo Larry James alikuwa anamaanisha kwamba ni rahisi mtu kujua makosa yake, kama tu atajiuliza kosa ni la nani kati yake na mwenzake. Pia, kusudio lake ni kuonesha kwamba mkosaji akijiuliza nani amekosea? Jawabu la haraka litamwambia “Ni mimi!”

Aidha, mtu anapobaini kuwa ni yeye amekosea na akawa muungwana, basi ataomba msamaha mapema ili kuepusha mgogoro usifike mbali. Hata hivyo, tatizo kubwa hapa ni kwamba kuna watu ambao ni wagumu kuomba msamaha wakidhani wataonekana wa bei ‘chee’.

Kimsingi, swali la kujiuliza ni hili, kosa ni la nani? Kama mnapendana hamtaruhusu mgogoro wenu uwachinjie baharini, badala yake mtaelekeza nguvu zenu katika suluhu! Mnajadili kilichotokea, kisha mnarekebishana.

Ni sumu kubwa kujiuliza “kwanini kimetokea hiki?” Swali la namna hiyo, mwisho wake siyo mzuri kwasababu litakapojitokeza tena, utasema: “Si unaona amerudia tena?”

Kitu cha msingi wakati unasuluhisha mgogoro ni kutoa dhana ya kushinda au kushindwa. Watu wengi huwa hawapendi kukubali makosa yao, wakiamini kuwa kufanya hivyo ni sawa na kukubali kushindwa.

Suluhu ni maafikiano ya pande mbili ambayo huwanufaisha wawili wapendanao, kwahiyo huwa hakuna mshindi wala mshindwa. Kutatua migogoro kunamaanisha kuwaweka wapenzi wawili pamoja, pia kuruhusu majadiliano na muafaka.

Mazungumzo yenye uwazi na ya moja kwa moja, ndiyo silaha inayoweza kutatua mgogoro wako. Silaha hiyo itafanya kazi kwa kuruhusu mawazo ya kila mmoja kujadiliwa kwa upana zaidi na kuwasilisha kile anachokihitaji.

Wanaume na wanawake ni tofauti, unalijua hilo? Zingatia utofauti huo. Jifunze kukubali na umaanishe hicho unachokikubali. Wakati mwingine kubali kuwa chini ili muende sawa.

Yeye akijiona ‘babkubwa’ na wewe ukataka kuwa hivyo hivyo ni nani atakayemtii mwenzake? Mafahari wawili hawakai zizi moja. ANGALIZO; Mume na mke hata siku moja hawezi kuwa mafahari wawili. Unadhani inawezeka? Nyumba itawaka moto!


WAIGIZAJI WETU 

Aunt Ezekiel

No comments: