Rihanna is reportedly considering moving in with new love Colin Farrell, according to sources.
NAVIO NA ATLAS WAKARIBIA KUUWANA
The pop superstar and Hollywood icon have been romantically linked for the past two months. Rihanna met Colin when they both appeared on a British talk show in December. The pair hit it off straight away and decided to swap cell phone numbers.
Now, insiders have extended on these rumours, suggesting the union is increasing in intensity.
"Rihanna's told friends she's so in love with Colin that she's thinking about moving in with him. They've already said 'I love you' to each other, and Colin asked her last week if she'd like to live with him. Rihanna seems really keen," the source told more! magazine.
Rihanna split from baseball star Matt Kemp towards the end of the year, with her hectic schedule thought to be part of the reason for the breakup. It is thought the Barbadian's busy life is occasionally proving a stumbling block in her new relationship, meaning the blossoming romance sometimes falters.
"Rihanna's got a crazy work schedule, so seeing him has been tricky. But she seems to really like Colin, so she flew for four hours just to have dinner with him. Rihanna says it was totally worth it to see Colin - she just can't get enough of him," they added.
STARS YAIDUNDA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI 2-1
STARS YAIDUNDA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI 2-1
Mchezaji wa Timu ya Taifa Shaaban Nditi amewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuiandikia Taifa Stars golo la kwanza katika dakika ya 49 huku Mbwana Samata akiongeza dozi kwa kuandika goli la pili katika dakika ya 89 ya mchezo huo hivyo Taifa Stars wameichabanga timu ya Afrika ya Kati 2-1 katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani zitakazopigwa nchini Benin na Guinea ya Ikweta ,mechi hiyo imechezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
NAVIO NA ATLAS WAKARIBIA KUUWANA
UGANDAN HIP-HOP ARTIST,DANIEL KIGOZI aka NAVIO
Atlas ni mtoto wa kigogo toka Jeshi la Uganda,Uganda People's Defence Forces (UPDF),na inasemekana kuwa yeye ndiye aliyempa Dr Jose Chameleone bunduki ya AK47 alivyo-shoot video yake ya songi la Vumilia mwaka 2009....Na Navio na ni mtoto wa Maggie Kigozi, prezidaa wa Uganda Investment Authority (UIA).
Hivi karibuni Atlas ali-release track yake ya Hip Hop iitwayo Ngalo, inayoaminika kuwa amem-diss Navio,na hivi karibuni wakati Navio alizindua track yake mpya iitwayo Keep Moving pande za Club Rouge, aliposhuka kwenye stage alimfata Atlas alipo na kumuuliza,Inakuaje Nimekukosea nini?....then Atlas alijibu kwa nakoz,nakupeana Makonde kadhaa mpaka bouncers wakaingilia kati na kuamua ugomvi,lakini Atlass ndiye aliyekua amepigwa!
UGANDAN HIP-HOP ARTIST,PRINCE EDDIE IGUMIRA aka ATLAS
Baada ya ugomvi huo Atlas alisema "You will get shot I promise you" akimaanisha kupiga risasi na kusemekana kuwa Atlas ana uwezo wa kupata silaha muda wowote,na inasemekana kwa sasa Navio yuko studio anatengeneza track ya kumjibu Atlas!
Pia Atlas amekuwa akimrushia dongo zito kuwa navio anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja"yai".
UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI KUANZA HIVI PUNDE
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli(kushoto)akisistiza kuhusu umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa daraja la kigamboni ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa kigamboni na Wakazi wa Mjini,Shirika la jamiii (NSSF) linategemea kuanza ujenzi wa Draaja hilo Mapema Mwaka huu baada ya zabuni kutangazwa na kumpata mhandisi.Daraja la kigamboni litagharimu Shilingi Billioni 130 hadi litakapokamilika.
JADAKISS KUTUA SOUTH AFRICA HIVI KARIBUNI
New York rapper Jadakiss is heading to South Africa next month, where he will headline a fundraising concert to benefit disadvantaged children in the country.
Jadakiss will hit the stage in support of the Prince Lindani Foundation's fundraising concert for the tiny country of Swaziland.
The event is slated to take place at the Mavuso Trade Centre in April, to help relaunch and sustain the foundation's charitable efforts.
The rapper will be joined by South African artists like DJ Tira, Jozi, Teargas, T-bo Touch, Lando Dlamini, Zaza, Velemseni, Stitch, Papz, Crooks and Izzy and others.
According to reports, the Prince Lindani concert will also be aired live on Channel O. \
BARBEE GIRLFRIND WA ZAMANI WA BEENMAN
get her bg.
born in New York of Jamaican and Nigerian parents, singer Barbee spent her early years in Jamaica and Nigeria and was schooled in Jamaica, Nigeria and New York. From as early as five years old young Barbee developed an affinity for music and by the time she was age 11 she was the leader of her traveling choir Perfect Praise. Five years later at age 16 Barbee formed a singing group called “Best Kept Secret”, which saw her writing songs and using beats from producer Just Blaze. Barbee and her group soon made a mockery of the name ‘Best Kept Secret’ as there was nothing hidden about their talent which was exhibited for all to see at the talent shows performances and other venues.
UMBO LA NESWHELLE LAWAACHA MIDOMO WAZI
VIDUME
neshelle,magazine top mdel
SUMAYE AWACHANA MAKAMBA NA UVCCM (SUMAYE KIONGOZI SAFI ACHENI MAJUNGU)
ALIYWAHI kuwa Waziri MKuu Frederick Sumaye, amefunguka na kushangazwa, kushtushwa na kukerwa na mashambulizi dhidi yake yenye lengo la kumfunga mdomo yeye na viongozi wengine toka kwa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM).
Sumaye aliwaambia waandishi wa habari leo kuwa hatua ya UVCCM na ile ya baadhi ya viongozi wa chama hicho na serikali kujaribu kuwafunga mdomo viongozi wastaafu kutoa maoni yao kwa uhuru inakiweka CCM katika hatari ya kusambaratika.
Mjumbe huyo wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, alisema kauli ya hivi karibuni ya vikao vya UVCCM inaleta picha kuwa vijana hao wana mtu ambaye wamemuandaa kwa ajili ya kushika urais mwaka 2015.
Amesema, kauli ya UVCCM kuwakalipia huku wakisema Rais ajaye si lazima atoke mikoa ya kaskazini ni ya kibaguzi pia inakwenda kinyume cha utamaduni wa kutafuta viongozi katika misingi ya uwezo na utendaji.
Kwa mantiki hiyo, Sumaye alisema kama UVCCM wameamua kumpigania wanayemuhitaji kwa ajili ya urais mwaka 2015 ili wapate ulaji, basi suala la amani na usalama wa taifa liko hatarini kwani itakuwa vigumu kumpata kiongozi bora

Watu 100 wadaiwa kufa Libya
Akielezea tukio hilo pasipo ufafanuzi wa kina, msemaji wa jeshi la Libya amedai raia na wanajeshi kadhaa wameripuliwa na makombora hayo kutoka ndege za kivita.
Mashambulizi haya ya leo yamefanyika muda mfupi baada ya Umoja wa Kujihami wa NATO kutangaza kuanza kushiriki rasmi katika operesheni ya kimataifa nchini Libya.
Wakati majeshi ya Muungano yakiendeleza mashambulizi, msemaji wa serikali ya Libya, Moussa Ibrahim, ameonya kuhusu makombora yaliyoporomoshwa jana, ambayo yalilenga jengo la kituo cha taifa cha televisheni pamoja na radio ya nchi hiyo.
Amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia kati kwa kukemea kitendo hicho cha kuangamiza taasisi hiyo muhimu ya umma wa Walibya.
Raia miongoni mwa wahanga
Taarifa za maafisa wengine wa Libya pamoja na wahudumu wa hospitali kadhaa, zinasema raia, wakiwemo wanawake, ni miongoni mwa waliouwawa katika mashambulizi yaliyofanyika katika maeneo ya Tripoli.
Serikali ya nchi hiyo imesema kwamba, mpaka jana idadi ya watu waliokufa kutokana na mshambulio hayo imefikia 100, huku ikilalamikia nchi za Magharibi kuingia vitani kwa niaba ya waasi.
Maafisa kwa upande wa vikosi vya Muungano wamekanusha kuhusika na kifo chochote kutokana na operesheni zao ambazo leo hii zimeingia siku ya saba.
Hapo jana (24.03.2011) mfanyakazi wa chumba cha maiti katika hospitali kubwa mjini Tripoli, Ahmed Hussein, aliwaonesha waandishi wa habari maiti 15 za wanaodaiwa kufa kutokana na mashambulizi hayo.
Mfanyakazi huyo aliwaambia waandishi hao wa habari kwamba maiti hizo ni kwa tukio la siku hiyo tu na kwamba bado kuna miripuko mingine katika makazi ya wanajeshi imetokea.
Miili ya watu hao ilikuwa imelazwa katika vigari vya kubebea maiti, zikiwa zimefunikwa na mashuka mazito ya rangi tofauti tofauti.
Serikali ya Libya imetilia mkazo kauli yake ya kwamba majeshi ya Muungano yanauwa kwa kutolea mfano mashambulio ya mji wa Tajura uliyopo mashariki mwa Tripoli.
Hata hivyo, waasi nao wanasema vifo vilivyotokea huko ni vya watu wao.
Kwa ujumla, bado majeshi ya Gaddafi yanasonga mbele katika mashambulio ya ardhini, ingawa inaonekana nguvu zake zimedhoofishwa na vikosi vya anga baada ya kuyashambulia makao ya uongozi wa jeshi lake anga, kama ilivyoelezwa na Uingereza hapo awali.
Naibu Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Libya, Khalid Kaim, amesema hali ilivyo katika mji wa Misrata, ambao ni wa tatu kwa ukubwa nchini humo, ni ngumu sana.
"Maisha hayajarejea katika hali ya kawaida Misrata kwa sababu bado kuna watu wanadungua watu kwa risasi pamoja na mashambulio ya anga kutoka majeshi ya Muungano." Amesema Kaim.
Huko katika mji wa mashariki wa Benghazi, waasi wanaendelea na mazoezi ya kijeshi, huku Baraza lao likisema lina wapiganaji takribani 1,000 walio katika uwanja wa vita.
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli(kushoto)akisistiza kuhusu umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa daraja la kigamboni ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa kigamboni na Wakazi wa Mjini,Shirika la jamiii (NSSF) linategemea kuanza ujenzi wa Draaja hilo Mapema Mwaka huu baada ya zabuni kutangazwa na kumpata mhandisi.Daraja la kigamboni litagharimu Shilingi Billioni 130 hadi litakapokamilika.
JADAKISS KUTUA SOUTH AFRICA HIVI KARIBUNI
New York rapper Jadakiss is heading to South Africa next month, where he will headline a fundraising concert to benefit disadvantaged children in the country.
Jadakiss will hit the stage in support of the Prince Lindani Foundation's fundraising concert for the tiny country of Swaziland.
The event is slated to take place at the Mavuso Trade Centre in April, to help relaunch and sustain the foundation's charitable efforts.
The rapper will be joined by South African artists like DJ Tira, Jozi, Teargas, T-bo Touch, Lando Dlamini, Zaza, Velemseni, Stitch, Papz, Crooks and Izzy and others.
According to reports, the Prince Lindani concert will also be aired live on Channel O. \
BARBEE GIRLFRIND WA ZAMANI WA BEENMAN
mwanamke aliwahi kuuteka moyo wa gwiji la dance hall been man,kula chabo mshepu huo.
full kuteleza mtu mzima ni kutupa mbichi mwanzo mwishoget her bg.
born in New York of Jamaican and Nigerian parents, singer Barbee spent her early years in Jamaica and Nigeria and was schooled in Jamaica, Nigeria and New York. From as early as five years old young Barbee developed an affinity for music and by the time she was age 11 she was the leader of her traveling choir Perfect Praise. Five years later at age 16 Barbee formed a singing group called “Best Kept Secret”, which saw her writing songs and using beats from producer Just Blaze. Barbee and her group soon made a mockery of the name ‘Best Kept Secret’ as there was nothing hidden about their talent which was exhibited for all to see at the talent shows performances and other venues.
UMBO LA NESWHELLE LAWAACHA MIDOMO WAZI
VIDUME
neshelle,magazine top mdel
No comments:
Post a Comment