Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, March 8, 2011

KANUMBA NA KIMWANA MPYA


Ni mtizamo tu but inaweza kuwa kweli mazee..!! THE SHOCK


 Yamkini movie hii ikazua jambo jipya kabisa.macho mzigoni wadau..like new c...


MAMIA YA WATU WAFURIKA KWA BABU LOLIONDO KUPATA DAWA YA 500 

Hii ni sehemu ya foleni ya magari inayokadiliwa kuwa na urefu wa Kilomita kumi, ikielekea Kijiji cha Samange Kata ya Digodigo Wilaya ya Ngorongoro, kwa ajili ya kupatiwa dawa ya jero (500) inayodaiwa kutibu magonjwa matano sugu likiwamo la Ukimwi pamoja na kumuona Babu huyo mwenye miujiza ya ajabu aliyeibuka hivi karibuni. Pamoja na urahisi wa gharama ya kupata dawa hizo laikini bado ni shughuli kubwa kufika katika eneo hilo analoishi Babu huyo kutokana na njia mbaya na umbali mrefu kutoka maeneo ya mji, kwa ujumla Miundombino ya kufika eneo hilo ni mibovu. Kwa mtu kama huyu Serikali sasa ifikie hatua ya kumuangalia kwa jicho la tatu ili kumuwezesha kutoa huduma hiyo kwa ufasaha na ikibidi kuboresha Miundombinu ya Barabara ili wananchi wengi wenyematatizo yanayohusianiana na dawa zake waweze kumfikia kwa urahisi na hata wageni kutoka nje ya nchi waweze pia kufika kwa urahisi. Na pia hata Wizara ya Afya isimamie ipasavyo zozei hilo kutokana na Babu huyo kutoa huduma ambazo hata hospitali ni ngumu kupatikana kwa haraka na pengine hupatikana kwa gharama kubwa tofauti na gharama za babu huyo.
Mamia ya magari yanaidi kuja loliondo
Hapa ni baadhi ya wananchi waliofanikiwa kufika wakiwa katika foleni kwa ajili ya kusubiri kunywa dawa hiyo na kumuona huyo Babu, ambaye sasa amegeuka kuwa moja ya kivutio.

Gbagbo sasa adhibiti mauzo ya Kakao

Zao la Kakao
Wadadisi wanasema utawala wa Gbagbo hauna pesa za kunua kakao kutoka wakulima
Laurent Gbago ameamuru kuwa serikali yake isimamie mauzo yote ya zao la kakao nchini Ivory Coast na kwenye soko za kimataifa.
Gbagbo ametangaza kauli hiyo kwenye televisheni ya kitaifa, ambapo alisema utawala wake sasa utanunua zao hilo kutoka wakulima wote nchini humo.
Tangazo hili litabdadilisha sana mauzo ya zao kakao. Serikali ndio itakayo nunua zao hilo kutoka kwa wakulima laki saba kote nchini humo, tofauti na mfumo wa soko huru uliopo sasa.
Kwanzia sasa serikali itaamua bei kila msimu wa mavuno. Wadadisi wanasema tangazo hili litavuruga soko la zao hilo na kutakuwepo na faida kidogo sana kwa utawala wa Gbagbo ambao unataka kudhibiti biashara hiyo muhimu.
Hapo awali, Alassane Ouatarra anayetambulika na jumuiya ya kimataifa kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa urais nchini humo, alitaka biashara ya kakao isusiwe kwa muda kama njia moja ya kumshinikiza Gbagbo aondoke mamlakani. Kakao inatumika kutengeneza chokoleti, kiburudisho muhimu duniani na Ivory Coast ndio nchi ya tatu duniani kwa kuzalisha zao hilo.
Hata hivyo vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa ulaya vitatatiza sana mauzo ya zao hilo katika nchi za ulaya, ambazo ni soko muhimu la kakao kutoka Ivory Coast.
Mwandishi wa BBC mjini Abidjan, anasema itakuwa vigumu kwa utawala wa Gbagbo kutekeleza amri hii kwa kuwa haina fedha za kuwalipa wakulima, takwimu za wanaozalisha zao hilo na hata ghala za kuhifadhi kakao zitakazo vunwa. Anasema tangazo hilo litachochea zaidi biashara ya magendo kupitia nchi jirani kama vile, Ghana, Togo na Liberia.

SIULITAKA MAKALIO HAYO SASA

Huyu ni mchina ama nini..!! tuambie king kif

Ferguson avigomea vyombo vya habari

Sir Alex Ferguson alikataa kuzungumza na vyombo vya habari vyenye haki ya kuonesha na kutangaza mechi za ligi siku ya Jumapili, baada ya mechi dhidi ya Liverpool, ambapo Manchester United walilazwa 3-1.
Sir Alex Ferguson
Sir Alex Ferguson


Meneja huyo wa Manchester United hakuzungumza na waandishi wa kituo cha televisheni cha Sky Sports, kituo cha radio chenye haki ya kutangaza mechi hizo cha TalkSport na pia televisheni ya Manchester United- MUTV.
Msaidizi wake Mike Phelan naye hakuzungumza kama kawaida BBC baada ya mechi.
Uamuzi wa kukataa kuzungumza na vyombo vya habari ulifanywa hata kabla ya mechi dhidi ya Liverpool.
Iwapo chombo chochote cha habari kitapeleka malalamiko yake mbele ya wasimamizi wa Ligi Kuu ya England, basi chombo hicho hakina budi kuchukua hatua.
Tangu mwaka 2004 Ferguson alikataa kuhojiana na BBC, baada ya BBC kuonesha makala iliyomhusu mwanawe Jason, ambaye wakati huo alikuwa ni wakala wa soka.
Wasimamizi wa Ligi Kuu ya England ilikuwa wajadili kitendo hicho cha Ferguson kuigomea BBC, ambacho kinakwenda kinyume na taratibu zake, mwaka jana, lakini kama alipigwa faini jambo hilo halikuwekwa bayana.
Hata hivyo inaaminika vyombo vya habari havijatoa malalamiko rasmi juu ya suala hilo.
United wamepoteza mechi zao mbili zilizopita za Ligi, dhidi ya Chelsea na Liverpool.
Pamoja na matokeo hayo bado timu ya Ferguson inaendelea kushikilia kilele cha ligi hiyo, lakini Arsenal wakiwa nafasi ya pili wana mchezo mmoja kibindoni.
Siku ya Ijumaa Ferguson alifuta mkutano wake na waandishi wa habari kuzungumzia mtazamo wake wa mechi, akipinga namna vyombo vya habari vilivyoshupalia matamshi yake baada ya mechi dhidi ya Chelsea ambapo Chama cha Soka cha England kilimshtaki kwa kauli za utovu wa nidhamu.

 

'Mawaziri waibiwa' Ivory Coast


Nyumba za mawaziri zapekuliwa
Vijana na mjeshi ya usalama nchini Ivory Coast yamepekura nyumba za "mawaziri" walioteuliwa na Alassane Ouattara, anayekubalika zaidi kuwa Rais.
Mashariki mwa nchi hiyo, waliokuwa waasi wanaomwuunga mkono Bw Ouattara dhidi ya mpinzani wake, Laurent Gbagbo, wameuteka mji wa Toulepleu.
Ivory Coast imekuwa katika ghasia tangu upigaji kura uliofanyika mwezi Novemba, Bw Gbagbo alipokataa kumkabidhi madaraka Bw Ouattara.
Ghasia hizo zimesababisha kutolewa kwa onyo la kuwepo mgogoro wa kibinadamu kutoka kwa mashirika ya kutoa misaada.
Walioshuhudia huko Abidjan walisema katika siku za hivi karibuni makundi ya vijana yamekuwa yakivamia nyumba za maafisa walio washirika wa Bw Ouattara na kuondoka na mali zao, huku polisi wenye sare zao wakiangalia tu.
Maafisa hao wamekuwa wakikaa na Bw Ouattara wakiwa chini ya Umoja wa Mataifa katika hoteli moja mjini humo.
Wote wawili Bw Ouattara na Bw Gbagbo wametaja majina ya baraza lao la mawaziri- waziri mkuu wa Bw Ouattara ni aliyekuwa kiongozi wa waasi Guillaume Soro.


TODAY"S SHOOTING STAR
Name: Starina
Nickname: Star
Height: 5’3
Measurements: 34D-26-40
Astrological Sign: Leo
Check out our featured model, the sexy Starina. This beauty enjoys swimming, traveling and sightseeing. Learn more about Star in our interview her.

Interview

inthe203: What is your, place of birth, and nationality/ethnic background?
Starina: I was born in Hartford, CT My background is French, Irish, African American
inthe203: Who inspired you to model?
Starina: Modeling was something that I kind of just fell into but since then I have been going hard with working and promoting myself.
inthe203: What’s a fun fact about you?
Starina: I’m a tomboy at heart!
inthe203: Do you have a favorite sports team or athlete?
Starina: My favorite athlete would have to be Kobe Bryant. Its sounds cliche but even when I was about 8yrs old I would play Kobe Bryant NBA courtside on my Nintendo64 lol
inthe203: You are at a bar, what do you order to drink?
Starina: Give me a Coconut Ciroc and pineapple. I think Diddy calls that the Coco Puff! lol
inthe203: What’s the sexiest thing you’ve ever worn?
Starina: 5 inch stilettos…thats it
inthe203: What are some of your favorite movies, television shows, and your kinds of music?
Starina: My all time favorite movie is Pretty Woman with Julia Roberts. I’m a big fan of reality shows, any kind will do. I know most of the time its garbage but its entertaining. lol I also find myself watching a lot of home improvement shows too. Music, I love it all from r&b to country. I love Leann Rimes, Beyonce and Lady Gaga. Colbie Caillat is hot too! Her music is so simply and relaxing.
inthe203: Tell us some of your favorite types of food, and do you have a favorite restaurant?
Starina: That would have to be Jamaican food. Now I’m not of any west indian decent but that’s mostly what I grew up around. My best friend is jamaican and she can throw down lol As far as favorite restaurants, I love food, so any good one will do.
inthe203: Now a question I’m sure our single readers would like to know, what are the 3 most important traits or qualities that you look for when it comes to dating?
Starina: I would have to go with self-respect, motivation, and of course humor. I guy who takes pride in himself. You don’t have respect for yourself if your out here messing with any and everything. I like a little competition and if your last female was unmotivated and average, your value depreciates.
inthe203: Jumping completely back to modeling now, where are you hoping that your modeling experiences lead you in the next 5 years?
Starina: Wow my imagination is endless! I hope that my modeling leads me to building an empire for myself and the people closest to me. My biggest dream is to be an entrepreneur. Making sure I always have more than one way to get it.
inthe203: What have you been able to learn through modeling that has been useful in other areas of your everyday life?
Starina: You can’t please everyone, trying to do so your headed for self destruction and failure.
inthe203: Finally describe your perfect Sunday.
Starina: Sleeping in late and Sunday dinner with my family.
inthe203: Do you have a website or another place where your fans can reach you?
Starina: twitter.com/OfficialStarina & www.luvjonz.com

Happy Women's Day to you

Let’s face it, us women love gifts, especially receiving them. While any excuse for gifts is good enough in our books, Women’s Day calls for something extra special, because that's exactly what we are. Vogue.in selects the presents you'll love to have

Irrespective of whether you are with someone or flying solo, good lingerie is always an instant pick me up, Vogue.in recommends Elle Macpherson’s Jennifer set to help you celebrate, alternatively, if you think that's a bit OTT, you might want to buy yourself Swarovski’s Noisette pendant - pretty and discrete.

If you’re looking to indulge in a new fragrance, may we suggest Thierry Mugler’s Womanity: A sweet and savoury blend of fig and caviar captured in an art-deco inspired pink flacon, this one smells as good as it looks.  If your make-up bag needs a little facelift, Dior’s 'Pink Golds' Minaudiere eye and lip palette is just the thing, or perhaps you could buy and gift Lush’s Lovely Jubblies, a nourishing and firming floral cleavage cream.
 [08 Mar 2011]

No comments: