Kauli ya mh.jk akitoa katika hotuba ya mwisho wa mwezi kwa vyombo vya habari kuwa yeye hawezi kuyamaliza matatizo yote ya nchi hii kwani waliomtangulia hawakuyamaliza,apewe muda. Baba wa taifa alitawala miaka 23 na hakuyamaliza, mzee mwinyi na mzee mkapa walitawala miaka kumikumi na hawakuyamaliza matatizo yote ya nchi hii,je yeye atawezaje kuyamaliza kwa miaka mitano tu.
wachambuzi wa mambo ya kisiasa nchini Tanzania wamesema serikari ya ccm ina hofu kubwa ikiwa nguvu ya umma kwa kushawishiwa na chadema itaenda kama chadema walivyopanga kuleta mageuzi ya uongozi.
Twanga Pepeta kufanya onyesho maalum la kuchangia walioathirika na Mabomu ya Gongo la Mboto
Bendi ya African Stars "Twanga Pepeta" Ijumaa ijayo inataraji kufanya onyesho maalum la kuchangia walioathirika na Mabomu ya Gongo la Mboto.
Onyesho hilo linataraji kufanyika katika ukumbi wa Zhonghua Garden uliopo maeneo ya Victoria siku ya ijumaa tarehe 4-02-2011 na linataraji kuanza saa tatu za usiku.
MODEL ZUHRA
A model from Tanzania contact her +255 714883703Maafisa wa UM washambuliwa Ivory Coast
Umoja wa Mataifa umesema maafisa wake walishambuliwa nchini Ivory Coast walipokuwa wakipeleleza taarifa za ukiukaji wa sheria za vikwazo vya silaha vilivyowekewa nchi hiyo.

Kikosi cha Umoja wa Mataifa likishika doria nchini Ivory Coast
Walikuwa wakichunguza ripoti kwamba Belarus ilitoa helikopta kuwafadhili wafuasi wa Laurent Gbagbo ambaye amekataa kuachia madaraka.
Umoja huo umesema haujafanikiwa kuthibitisha taarifa kuhusu shehena hiyo lakini maafisa wake wataendelea kufuatilia hali nchini humo.
Mkutano ulioandaliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili ripoti hiyo imefutwa.
Wakati huo huo, waasi wa zamani wa Ivory Coast walisema wako tayari kujihami na kupambana dhidi ya Bw Gbagbo.
Msemaji wa kundi hilo la New Forces, Cisee Sindou, aliiambia BBC kwamba iwapo mtafaruku utaendelea baina ya wafuasi wa Bw Gbagbo na hasimu wake Alassane Ouattara, kundi hilo litachukua hatua.
Lakini Bw Sindoue alisema kuwa hakuna operesheni ya kivita iliyopangwa.
Bw Ouattara anatambuliwa na wengi kama mshindi wa uchaguzi wa urais wa Novemba mwaka jana.
Bw Gbagbo na Bw Ouattara hawajatoa kauli yoyote kuhusiana na ilani aliyotoa msemaji huo wa waasi.
MENGI AFANYA KUFURU GONGO LA MBOTO
Tajiri mashuhuri afrika mashariki na kati Bw.Regnald Mengi ametoa tani 18 za chakula kwa wahanga wa mabomu na fidia ya laki tano kwa kila kaya iliyopatwa na majanga ya mabomu ya gongo la mboto.
FA ya Misri yapunguzia mishahara
Chama cha soka nchini Misri (EFA) kimetangaza kitapunguza mishahara ya wafanyakazi wake.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Misri
Wachezaji wa timu ya taifa nao huenda mishahara yao ikipunguzwa.
Taarifa iliyotolewa kupitia mtandao wa EFA imeeleza hakuna mfanyakazi yeyote ndani ya chama hicho atakayepokea mshahara unaozidi dola 2,500, wakati mshahara wa kima cha chini utakuwa ni kiasi cha dola 250.
Hivi karibuni Misri ilikumbwa na tafrani za kisiasa, hali iliyosababisha kusimamishwa shughuli za soka nchini humo kiasi mapato yamepungua.
Taarifa hiyo imeendelea kueleza uamuzi huo "unakwenda sambamba na hisia za mapinduzi".
EFA pia wamesema watakutana na vilabu vya soka nchini humo kukubaliana taratibu za fidia kwa wachezaji watakaoitwa katika timu ya taifa.
MASHINDANO YA NGUMI TAIFA YAMEFUNGULIWA
FINAL TOUCH OF MUSTAFA HASSANALI COLLECTION, READY FOR MAMMA MIA CHARITY FASHION SHOW 4TH - 5TH MARCH
Mustafa Hassanali, on the last minutes preparation of his collection for Mamma MIA
The renowned Tanzania Pan African Designer Mustafa Hassanali work on his collection for the Mamma MIA Charity Fashion show, 4th - 5th March
MGOMO WA MADENTI WA IFM
SALAMU ZENU WADAU!!
WELCOME BACK, Ndugu msomaji usisahau kuclick older post kwa habari kemmem zilizopita katika blogu hii hapo chini.
No comments:
Post a Comment