Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, March 22, 2011

TUZO ZA MUZIKI ZA KILI KUFANYIKA JUMAMOSI


Maandalizi kwa ajili ya onyesho la Tuzo za Muziki za Kili yamekamilika ambapo waandaaji wa Tuzo hizo, Kampuni ya Bia Tanzania TBL, kupitia kinywaji chake cha bia ya Kilimanjaro Premium Lager wametangaza wasanii watakaotoa burudani katika onyesho la utoaji wa Tuzo hizo litakalofanyika Jumamosi ya Tarehe 26, Machi 2011 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kuanzia saa moja jioni.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL, David Minja aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana ya kuwa Utoaji wa Tuzo za mwaka huu utapambwa na burudani tofauti kutoka kwa wasanii mbalimbali na kuogezea kuwa mwaka huu onyesho litakuwa katika mwonekano wa kisasa zaidi kulinganisha na miaka ya nyuma.

Mugabe, Zuma walaani mashambulio Libya


Libya
Viongozi kadhaa kutoka nchi za Afrika, ikiwemo Uganda, Afrika Kusini na Zimbabwe, wamelaani mashambulio ya angani nchini Libya.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameandika makala ndefu kwenye gazeti akizishutumu nchi za magharibi kwa kuwa ndumilakiwili.
Alikuwa ni mmoja miongoni mwa viongozi watano wa Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhu la mgogoro Libya, ambapo safari ya ujumbe huo mjini Tripoli uliahirishwa baada ya mashambulio kuanza.
Bw Jacob Zuma wa Afrika Kusini naye alikuwepo kwenye jopo la Umoja wa Afrika.
Licha ya Afrika kusini kupiga kura ya azimio la umoja wa mataifa mwaka 1973, iliyoidhinisha hatua za kijeshi kulinda raia, Bw Zuma naye amelaani mashambulio hayo ya anga, akisema ni sehemu ya "sera za mabadiliko ya uongozi."
Viongozi wa nchi za magharibi walisema mashambulio hayo hayatomlenga kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi lakini wanataka aachie madaraka.
Bw Zuma alitoa wito wa kusitishwa kwa mapigano haraka iwezekanavyo na "kukataa kuingiliwa na nchi yeyote ya kigeni, hata iwe katika muundo upo".
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, mkosoaji mkuu wa nchi za magharibi, naye amelaani mashambulio hayo ya anga, akisema mgogoro wa Libya ni kuhusu utajiri wake wa mafuta.
Hifikepunye Pohamba, Rais wa Namibia naye amekubaliana na hilo, akiita shambulio hilo ni "kuingilia masuala ya ndani ya Afrika."
Umoja wa Afrika nao umetoa wito wa kumaliza uvamizi wa kijeshi nchini Libya.

STL ATUPA MBICHI NA PHILIP BOIT....HUKO NORWAY!


Msanii STL toka Kenya ambaye maskani kahamishia Norway,katupa mbichi na Mtelezaji wa kwenye Barafu toka Kenya,Philip Kimely Boit alipokua nchini Norway.
Philip Boit yuko nchini Norway kushiriki mashindano ya World Ski Championships jijini Oslo.

wasanii wa five star waliopata ajali watajwa


hii ajari ilikuwa ni balaa


mwimbaji maarufu wa 5star akiwa amejeruhiwa vibaya na mkasa huo.


wasanii wa five star waliopata ajali na kufariki na wale waliojeruhiwa watajwawasanii wa five star waliopata ajali na kufariki na wale waliojeruhiwa watajwaBaadhi ya wasamalia wema waliokuwa kwenye foleni ya magari baada ya kutokea kwa ajili ya Basi ndogo la Wasanii wa Kundi la Five Stars Moden Taarab wakichunguza kwa makini iwapo kuna mtu aliyebanwa ama kusahauliwa kuokolewa ama miili wake kubakia eneo hilo baada ya basi hilo kuparamia lori lililosheheni mbao lililokuwa limeharibika njiani , katika barabara kuu ya Iringa- Morogoro , eneo la Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Mikumi, karibu na Kijiji cha Doma, Wilaya ya Mvomero usiku wa kuamkia leo.

Yemen, Jeshi launga mkono upinzani

Idadi kubwa ya maafisa wa jeshi la Yemen wametangaza kuwaunga mkono waandamanaji wanaomtaka Rais Ali Abdullah Saleh kung'atuka.
Maandamano Yemen
Maandamano Yemen
Kamanda wa kikosi cha magari ya deraya, Jemadari Ali Mohsen Al-Ahmar ni mmoja wa maafisa hao waliotangaza kuwa wanawaunga mkono waandamanaji nchini Yemen.
Ali Mohsen Al-Ahmar amekuwa mshiriki wa karibu wa Rais Ali Abdullah Saleh kwa mda mrefu.
Mawaziri kadhaa pamoja na maafisa waandamizi wa serikali walijiuzulu tangu watu zaidi ya hamsini walipouwawa katika maandamano ya kuipinga serikali.
Imeripotiwa kuwa makamanda Waandamizi wengine wawili nao pia wamejiuzulu.
Rais Saleh alisema kuwa "hatatekeleza mashambulio yoyote" lakini ako tayari kuzuia "mageuzi."
Vifaru vimewekwa katika maeneo muhimu katika mji mkuu Sanaa kama vile ikulu, wizara ya ulinzi na benki kuu ya nchi hiyo.

Mwandishi wa maswala ya usalama kutoka yemen, Frank Gardner, alisema kuwa madaraka za rais Saleh zinadidimia taratibu.
Makamanada waliotangaza kuwa wanajiuzulu wanatoka kabila moja na Rais Saleh, kabila la Hashid.
Kiongozi mkuu wa kikabila, Sadiq Al_Ahmar, naye ameunga mkono matakwa ya waandamanaji na aliliambia shirika la habari la Al Jazeera kuwa wakati umewadia wa Bw Saleh kuondoka kwa utulivu.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, Mmoja wa viongozi kutoka kabila hilo alisema kuwa kabila hilo la Hashid linamuunga mkono Jenerali Ahmar ambaye anapendekezwa kushika hatamu ya uongozi iwapo watamuondoa Rais Saleh.
Kulingana na taarifa kutoka shirika la habari la Yemen, waziri wa mambo ya nje ya nchi alitumwa kwenda Saudi Arabia kupeleka ujumbe kwa Mfalme Abdullah kutoka kwa Rais Saleh.


 MADENI YA YOUNG BUCK YAWEKWA HADHARANI
young buck
Young Buck's troubles continue to deepen, as claims against the rapper have reached $11.5 million, with $10 million of the claims coming from his former label, G-Unit. (March 21st).
According to The Tennessean, G-Unit Records has filed a $10 million claim against former artist Young Buck in the event that he breaches his contract with the label, in his ongoing bankruptcy case.
Rapper 50 Cent has also filed a $171,000 claim against Young Buck, claiming he loaned his former artist $300,000 in 2005.
In all, Young Buck has 14 claims against him in the bankruptcy proceedings, which total a whopping $11.5 million dollars.
Young Buck's lawyer Robin Mitchell Joyce blamed some of Young Buck's financial troubles on the deal he signed with 50's G-Unit imprint.
She claims that G-Unit managed Young Buck, handled all of his business, provided legal counseling and acted as his booking agent.
This could have put anyone working with Young Buck in danger of running afoul of 50 Cent, especially after the two men began to feud.
"One of the biggest problems with Buck's situation is not only that it's so complex, but also that he didn't understand it," Joyce told The Tennessean. "The money went in and the money went out and Buck's universe of knowledge about his financial state is a balance on an ATM receipt. … Buck never knew at one point, at several points, that he was a millionaire."
According to Joyce, she has submitted a $500,000 budget for a new album since Young Buck is technically still signed to the label, although his releases through G-Unit have been put on hold.
Joyce believes the label must either approve the budget and release Young Buck's third album for G-Unit or let him out of his contract.
Young Buck is also facing 10 years in prison over a federal gun rap after a March 7th arrest, which accused the rapper of illegally being in possession of a gun in August of 2010.
He is free on $100,000 bail.

Mionzi ya nyukilia iko kwenye chakula

Madaktari wakichunguza manusura wa Tusnami Japan
Huku mzozo wa nyuklia ukiendelea kukumba nchi ya Japan, shirika la Afya duniani limesema mionzi ya nyulikia iliyopatikana kwenye chakula imepita viwango vilivyotarajiwa.
Serikali ya Japan imewataka wakulima na wazilishaji wengine katika maeneo karibu na vinu ya nyukilia vilivyoko Fukushima kutouza mazao yao katika maeneo mengine.
Huku wakikabiliana na athari zilizosababishwa na tetemo la ardhi na tusumai,pamoja na hofu iliosababishwa na mionzi ya nuclear, sasa raia wa japan wakabiliwa na tishio jingine kuhusu athari za nuclear kwenye vyakula vyao na hasa mboga.
Usafirishaji wa mboga kutoka maeneo karibu na vinu vya nuclear wa Fukushima umezuiwa baada ya uchunguzi kuonyesha kuwa mboga kutoka eneo hilo zina madini ya nuclear.
Tayari usafirishaji wa maziwa kutoka fukushima umezuiwa. Msemaji wa shirika la afya duniani magharibi mwa ukanda wa pacific Peter Cordingley anaelezea kuhusu uchunguzi huo.
'' Katika siku chache zilizopita wamgundua kuwa mboga za spinach zilizotoka maeneo yalioko kilomita 120 kutoka vinu hivyo, zilikuwa na madini ya nuclear. Sasa hio ni hatua geni na japana inalifuatilia kwa karibu. Hatua walizochukuwa ni kuzuia usafirishaji wa vyakula kutoka eneo hilo lote''
Katibu wa baraza la mawaziri Yukio Edano amewaomba watu wasiingie wasiwasi kupita kiasi kuhusu suala hilo. Amewaelezea waandishi wa habari kuwa madini hayo yaliogunduliwa kwenye mboga hayana athari yoyote kwenye afya ya binadamu.

Baada ya kuvuja kwa mionzi hiyo ya nuclear, mboga za majani na bidhaa kutoka wanayama ndio huathirikia sana. Kwa kawaida matawi ya mboga hizo ndio hupata madhara kutoka hewa yenye mionzi hiyo na nyama, maziwa na mayai huwa hatarini baada ya wanyama hao kula nyasi na matawi yaliona athari mionzi ya nuclear.
Serikali ya maerikani imesabaza madini ya potassium iodide kwa wafanyikazi wake wa wanaoishi Japana kuwa kinga na athari hiyo za mionzi ya nuclear.

Supermodel Censors

Supermodel Gisele Bundchen H&M campaign 
Dubai cover up BEING one of the world's most beautiful women didn't save Gisele from the censors; her famous body has been covered up for the Dubai market in her new H&M campaign.
The images - featuring Bundchen in a peach jumpsuit, a green printed playsuit, a coral maxi dress and a white vest - appear in the Middle East with modesty-preserving T-shirts beneath the garments.
"Some of the images seemed different from the original campaign photos floating around on the web," La Moda Dubai noted. "Perhaps some changes were made to better align the campaign with the sensibilities of the GCC market [Gulf Cooperation Council countries: Bahrain, Kuwait, Oman, Qatar, Saudi Arabia, UAE]."
See the digitally altered pictures on La Moda Dubai here.

 HEE! MJOMBA !!! jisikie aibu.......
Ujapewa umesinzia je ukionjeshwa siutachonga mzinga,hizi ni swagga sio nyasi toka kwa wema . joxx men !

No comments: