Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, March 13, 2011

LOWASA MRITHI WA JK 2015

lowassa1.jpg
Edward lowasa ni moja ya viongozi shupavu na mchapakazi anauozefu wa muda mwingi katika serekali ya jamuhuri ya muungano.
Muheshimiwa lowasa tunaona juhudi zako za kutafuta suruhu ya matatizo yanayoyakabili ya  hali mbaya yanayoikabili nchi yetu kwa sasa ,mara kwa mara tunakuona ukitoa kauli za hekima na busara kuhusu tatizo la umeme,hali ngumu ya kimaisha na utekelezaji wa ilani na ahadi mbalimbali.
Tunategemea kabisa mwaka 2015 utalegeza nia ya kugombea na imani yangu utapitisha na kamati kuu ya ccm kuwa mgombea wa kiti cha uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi.
Tupo tayari kupiga kura kwajiri ya mheshimiwa Edward lowasa kwa kuwa nia na madhumuni yako yanajionesha kuleta ukombozi na tumaini kwa taifa la Tanzania.
Ujumbe huu umfikie mh. lowasa na atambue tuna imani na yeye

United yain'goa Arsenal FA

 Wayne Rooney's second goal proved a killer blow to Arsenal's FA Cup ambitions
Manchester United imeichapa Arsenal 2-0 na kutinga katika nusu fainali ya michuano ya kombe la FA.
Magoli ya Fabio Da Silva na Wayne Rooney yalitosha kuiondoa Arsenal katika michuano hiyo.
Fabio aliandika bao la kwanza katika dakika ya 28, huku Wayne Rooney akifunga bao la pili katika dakika ya 49.

TAMIMU AMTWANGA ASHIRAFU 

Awadhi Tamimu akilamba sakafu
Ufundi wa kutupa mawe ukioneshwa
Tamimu akirusha ngumi kwa Ashirafu
Ashirafu akilamba sakafu

Tahadhari kwenye mtambo wa nyuklia Japan

Tsunami, Japan
Fundi mitambo wanahangaika kudhibiti kinu cha tatu cha kinyuklia katika mtambo wa nyuklia kilichokumbwa na tetemeko kubwa la ardhi, ambalo limetikiswa na mlipuko wa pili katika kipindi cha siku tatu.
Vyuma vya mafuta vilivyopo ndani ya kinu hicho kwenye mtambo wa Fukushima Daiichi vimefunuliwa katika nyakati mbili tofauti, na kuzua wasiwasi wa kuyeyuka.
Maji ya baharini yamekuwa yakitiwa kwenye kinu hicho ili kuzuia kupashika joto kupita kiasi.
Kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa kupunguza joto kulianza kabla ya milipuko kutokea kwenye mtambo namba 3 na mtambo namba 1 siku ya Jumamosi
Mlipuko uliotokea hivi karibuni ulijeruhi watu 11, na mmoja ameumia sana.
Mlipuko huo ulitikisa umbali wa kilomita 40 kutoka ulipotokea na kusababisha moshi mkubwa hewani.
Jengo lililokuwa nje ya mtambo huo uliharibika sana.

No comments: