Mrembo Huddah ambaye alikuwa akizozona na diva wa
clouds fm wakimgombea prezoo ambae wote kawamwaga.
Huddah aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu
bila aibu... na hata apondwe vipi huyu dada bado hakomi tabia hii ya kutupia picha tata mtandaoni .Hudda ni mkenya ambaye aliwakilisha
nchi yake katika Bigbrother the chase 2013.kupitia account yake ya
Instagram jana usiku aliweka picha akiwa ameinama yuko UCHI huku
akitukana mafans wake (Kwa d**e la Ka*i)
Inavyo hofiwa na wanahabari wengi wa nchini kenya huyu dada Huenda yuko mbioni kuachia video chafu ...Baada ya muda mrefu sana kuwa anatoa picha za utupu..
Inavyo hofiwa na wanahabari wengi wa nchini kenya huyu dada Huenda yuko mbioni kuachia video chafu ...Baada ya muda mrefu sana kuwa anatoa picha za utupu..
No comments:
Post a Comment