Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa
kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali
kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL
PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama
STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama.. Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko... Watabiri wa mambo wanaosubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemeji yetu nae ajambo kwelikweli...
No comments:
Post a Comment