| wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki leo |
| polisi wa usalamam akiwatuliza wananchi walioshikwa na asira mbagalaleo |
| badhi ya watuhumiwa walioshikwa kwa ghasi za leo huko mbagala baada ya gari la mchanga kumgonga mwanafdunzi na kufariki leo asubuhi |
![]() |
| baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki leo mbagala |

No comments:
Post a Comment