Mmoja
wa wanamitindo waliohudhuria katika uzinduzi wa wiki ya maonesho ya
Zanzibar Fashion Show, yatakayofanyika Zanzibar Oktoba 25-27 akionyesha
moja ya mavazi katika onyesho lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Baadhi
ya wanamitindo wakionyesha mavazi wakati wa uzinduzi rasmi wa onyesho
la Zanzibar Fashion Week yatakayofanyika Zanzibar Oktoba 25-27
akionyesha moja ya mavazi katika onyesho lililofanyika jijini Dar es
Salaam, Tanzania.

No comments:
Post a Comment