Kwa
mujibu wa Mwandishi wa G. Sengo Blog Peter Fabian aliyeweza kuwahi
kufika eneo la tukio na kutoa msaada wa gari kumfikisha dereva wa
pikipiki hiyo aliyopata ajali Hospitali ya Rufaa ya Bugando, annasema
kuwa dereva huyo alikuwa akitokea Mkolani kuelekea Buhongwa na Roli hilo
lilikuwa likitokea Buhongwa kuelekea Mkolani, imetokea wakati dereva wa
roli 'akiovateki' daladala iliyokuwa mbele yake ikibeba abilia, hivyo
alipoipita tu daladala hiyo akakutana uso kwa uso na bodaboda.
No comments:
Post a Comment