Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia)
Mwanamke huyo Maria Butziki (33) mama
wa watoto wawili anauita uamuzi huo kuwa ni ‘perfect solution’ ya
tatizo lililokuwa linamtatiza la kushindwa kumuacha yeyote kati yao
sababu anawapenda wote.
“people might think it’s weird but I love both men and couldn’t choose between them”, alisema Maria katika mahojiano.
Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaume
wote wawili wamekubaliana na uamuzi huo na wanaishi kwa furaha kama
familia moja pamoja na watoto wawili wa Maria.
Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na
kuanzisha uhusiano na Peter kabla hajagundua kuwa moyo wake hauwezi
kumsahau mumewe na wakati huo huo hawezi kumuacha Peter.
“When I left Paul there was a huge
hall in my life. But the thought of never seeing Peter again was heart
breaking. So living with both men is the only way”. Alisema Maria
Maria akiwa na wapenzi wake pamoja na mabinti zake wawili kama familia moja
Upande wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza “Peter
is a great guy. When Maria first had the affair with him I was just
heartbroken. But as I got to know him, I realised we have so much in
common. We both adore fishing, and he’s like a surrogate dad to the
kids”.
Upande wa Peter naye amesema anaelewana
vizuri na mume wa mpenzi wake na wala haoni wivu kushare naye mpenzi
““We all get on so well. It doesn’t feel as if I’m sharing Maria.
There’s no jealousy …it feels as if we area team.”
Pamoja na kuwa wana mahusiano ya
kimapenzi lakini Maria amesema huwa hajichanganyi nao chumba kimoja,
boyfriend hulala kwenye kochi wakati mume ana chumba chake na Maria
hulala na mtoto wake mkubwa wa kike.
“The three of us never share a bed. Although I have a sexual relationship with each man, that side is kept very private”. Alisema Maria.
Najua unaweza kuwa unajiulizaja watatu
hawa wanautaratibu upi katika swala la kushiriki tendo la ndoa, Maria
amesema mmoja kati yao anapokuwa ametoka basi aliyebaki ndio anapata
nafasi ya kufanya naye mapenzi lakini hawajawahi kuzungumza kwa pamoja
kuhusu swala hilo aliloliita ‘binafsi’.
” The three of us never share a bed,
If Paul is out, then Peter and I might make love, and vice-versa. But
both men turn a blind eye and we never discuss it with one another.” Alisema Maria
No comments:
Post a Comment