P SQUARE WATEMBELEA WATOTO WENYE ULEMAVU JIJINI DAR
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation,
Yesaya Mwakifulefule wakipeana mikono na wasanii kutoka nchini Nigeria
maarufu kwa jina la P Square (Peter na Paul Okoye), wakati
walipotembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa Utindio wa Ubongo cha
Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii hao walitoa msaada
kwa watoto hao wenye ulemavu huku ikiwa ni njia moja ya kushiriki kazi
ya kijamii.
No comments:
Post a Comment