Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, October 6, 2014

Waliong'ara kwenye Red carpet uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS @ Dar es Salaam Serena Hotel

Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Bw. Florenso Kirambata, Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania, Furaha Samalu, Levina Bandihai wa Multichoice Tanzania pamoja na mmoja wa wadau wa DStv waking'ara kwenye red carpet wakati wa sherehe za uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS zilizoandaliwa na Mutlichoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa DStv na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena ziliofanyika usiku wa kuamkia leo.
DSC_0091
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi.
DSC_0015
Afisa Mtendaji Mkuu wa Relim Limited ambao ndio watengenezaji wa Bang Magazine, Emelda Mwamanga (kushoto) akiwa na rafiki yake kwenye red carpet.
DSC_0017
Ukodak ukiendelea.
DSC_0032
Blogger Shamim Mwasha wa 8020 Fashions naye aling'ara.
DSC_0036
DSC_0023
DSC_0087
DSC_0096
Blogger Christina Sintah.
DSC_0098
DSC_0024
DSC_0030
DSC_0008
DSC_0100
DSC_0027
DSC_0159
Blogger Seif Kabelele.
DSC_0012
Blogger Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog na Zainul Mzige wa MOblog wakiwakilisha,
DSC_0106
Mdau Shaaban Mazua aking'ara kwenye red carpet.
DSC_0021

No comments: