Wachambuzi wa mambo ya KIsiasa wanasema kuwa moja ya ajenda ambazo wanategemea kusikia nyeti zilizojificha kuhusiana na utajiri wa ridhiwani kikwete ambao haundani na kipato chake toka apate ajira.
Mikoa ambayo itapitiwa na mikutano hiyo ni Mbeya ,singida,rukwa,morogoro na mji wa sumbawanga kuanzia kesho.
Wasiwasi mkubwa kuhusu ukweli wa mauaji ya mwanzilishi na Kiongozi wa Al-Qaeda Osama Bin Laden, serikali ya nchini hapa inatarajia kutoa picha za mwili wake zilizopigwa kabla ya kuzikwa.
      Tangu Rais Obama atangaze kuuawa na kuzikwa kwa Osama bin Laden, maoni  mbalimbali yametolewa yakitaka kuwekwa wazi kwa mwili wake ili ukweli  wa tukio zima la mauaji ueleweke duniani.
      Mkurugenzi wa Shirika la Kijasusi la CIA, Leon Panetta, alikiambia  kituo cha televisheni cha NBC cha nchini hapa kuwa picha ya mwili wake  itatolewa ili kumaliza utata huo.
      Kutolewa kwa picha hizo kunatokana na makubaliano yaliyofikiwa baada  ya mvutano mkubwa uliotokea kati ya CIA na maofisa wa serikali juu ya  wazo hilo.
      CIA hawakuwa na wazo la kutoa picha kutokana na mwili wake kuwa katika  hali ya kutisha, kufuatia kuwa na majeraha makubwa aliyoyapata maeneo  ya kifuani na usoni.
   Taarifa zilizopatikana awali zilionyesha kuwepo kwa mkanganyiko kuhusu  tukio zima la kuuawa kwa Osama huku Ikulu ya Marekani ikishindwa  kueleza ni watoto gani wa Osama waliuawa.
       Taarifa nyingine za utata ni maelezo kuwa mke wa Bin Laden aliuawa kwa  kupigwa risasi, huku ikiwa haijalezwa wazi kuhusu ulikopelekwa mwili  huo.
       Dunia bado imebaki katika kiza kinene kinachohitaji mwanga wa ukweli  kutokana na jana maofisa wa nchini hapa  kufafanua kwamba mke wa Bin  Laden hakuuawa na kusema mwanamke mwingine ndiye aliuawa katika  shambulio hilo.
         Maofisa hao walisema mwanamke huyo huenda alikuwa mke wa Sheikh Abu Ahmed, ambaye alikuwa mfanyakazi wa mkewe Osama.
        Ingawa msemaji wa Ikulu, Jay Carney, aliweka wazi kuwa wakati wa  shambulio hilo Bin Laden hakuwa na silaha, lakini maofisa walidai Bin  Laden alijibu mapigo (alijihami) dhidi ya makomandoo.
WEMA SEPETU ATIWA MBARONI KWA UTOVU WA NIDHAMU

Aliyekuwa  Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu (27) , mkazi wa Sinza jijini Dar es  Salaam jana alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo, Kinondoni  kwa kosa la kutukana hadharani.
Ilidaiwa  Mahakamani hapo kuwa mshitakiwa huyo alimtukana matusi ya nguoni msanii  wa kizazi kipya, Raheem Rummy 'Rais wa masharobaro' ambapo mshitakikosa  lake.
Hata hivyo mshitakiwa huyo  alidai mahakamani hapo kuwa aliamua kumtukana mshitakiwa kwa sababu ya  dharau zake alizokuwa anamfanyia.
''Mheshimiwa  Hakimu si kawaida yangu kutukana ovyo ovyo, lakini hasira zimenifanya  nifanye hivyo na ndiyo maana nimekubali kosa langu.
Mbele  ya Hakimu Mariamu Masamalo, ilidaiwa na Karani Sharifa Dunia kuwa,  Aprili 11 mwaka huu Kinondoni, mshitakiwa alimtukana mlalamikaji huyo na  kesi imehairishwa mpaka Aprili 18 mwaka huu.
Wema Sepetu katika pozi.CHRISS BEEZ AKANUSHA KUTAMANI NDOA NA KARRAUCHE TRAN
Chris Brown kuptia mtandao Twitter alizima uvumi uliokua umezagaa kuwa alimuomba mpenzi wake waoane wakati wa sikuu za Easter... 
 
CHRIS BROWN AKIWA NA 'DEM WAKE' KARRAUCHE TRAN 
Chis Brown inasemekana kuwa alimuambia dem wake Karrauche  Tran kupitia kwenye simu kuwa anamuomba waowane lakini hakuwa na pete  kwa wakati huo na mdada huyo kukubali,lakini Chris Brown akafunguka kuwa  yeye ni mdogo sana kujihusisha na hizo issue za kuoa kwa sasa coz ndio  kwanza ana miaka 21 tu!
 
 
No comments:
Post a Comment