Izzo busness
Msanii wa kizazi kipya nchini Izzo busness a.k.a bizness beibe amemdiss live Ridhiwani Kikwete katika mashairi ya wimbo wake mpya uliojaa maneno ya harakati nzito zisizo na woga dhidi ya kupata matatizo baadae.
        Izzo ambae alikuwa ajihojiwa na kituo kimoja cha redio leo jioni alisema kuwa haogopi chochote kuhusiana na mistari hiyo ambyo inamchana live Ridhiwani.
       Swagga za mchizi huyu pengine zikazua taflani flani kwani mbichi na kavu kazitenganisha.Ngoma hiyo inaitwa Riz-one ambapo ndani yake kakichana sana chama flani.
MARTIN KANDINDA AJIWEKA KINGONO ZAIDI
   Mbunifu na mdau wa matukio kadhaa hapa mjini Martin kadinda amejiachia kwenye photo na demu mmoja ambae jina lake halikupatikana kwa harakaharaka,picha hiyo inaonyesha martin akila denda a.k.a akidendeka  na mwadad ahuyo ambae inasemekana anatengua torati na demu huyo.Ghasia za kidini zaibukaka Misri
Waziri Mkuu wa Misri, Essam  Sharaf, amevunja safari ya kuzuru nchi za Ghuba baada ya ghasia kati ya  Waislamu na Wakristo, zilizouwa watu kama sita.
      Hii ilikuwa ziara muhimu kwa Waziri Mkuu, katika  nchi za Ghuba ambazo zingeweza kutoa msaada anaohitaji sana, na nchi  ambazo piya zina wasi wasi juu ya mwelekeo wa mapinduzi ya Misri.
      Kwa kuvunja safari hiyo, Bwana Sharaf anaonesha  anashughulishwa na ghasia nyengine  zilizozuka baina ya makundi ya  Waislamu na Wakristo.
        Safari hii ghasia zimetokea kwenye mtaa wa  kati-kati ya Cairo, pale kundi la Waislamu wa madhehebu ya Sunni,  wanaoitwa Salafi, ambao hawapendi mabadiliko, lilipozingira kanisa  ambamo likiamini Wakristo walikuwa wakimzuwia mwanamke, ambaye akitaka  kubadilisha dini na kuwa Muislamu.
         Risasi zilifyatuliwa, na kanisa na majengo mengine yalichomwa moto.
Ilichukua saa kadha kwa askari wa usalama kuzima mapigano.
Inafikiriwa kuwa Salafi ni wachache kati ya  Waislamu, lakini wamekuwa na ghasia nyingi tangu Rais Hosni Mubarak   kuondoka mwezi wa Februari.
        Tangu wakati huo, kumetokea mapambano kadha  baina ya Wakristo na Waislamu, na Wakristo wengi, ambao ni asili mia 10  ya watu wa Misri, wanahofia usalama wao, endapo makundi ya Waislamu  wasiopenda mabadiliko, ndio yatashinda katika uchaguzi wa mwezi  Septemba.
JUMA FUNDI ADUNDWA NA NASIBU..!!
SEAN KINGSTONE AIDANGANYA DUNI TENA!!
“I love my fans in Africa.I just threw $3 000 in the crowd - I love to give back man, best feeling ever,”Facebook page.
However according to fans who attended both the Friday and Saturday shows nothing of that sort happened. says his
However according to fans who attended both the Friday and Saturday shows nothing of that sort happened. says his
    “I did not see any money. What the hell is the guy talking about. I can just tell you that the show was a boring performance, ” said Davis Takuneni, one of the fans who attended both shows.
Sean Kingstonn was in Zimbabwe last week..and...I like this guy, went to one of his shows once or twice,heck he's okay but well..I guess he was kind of a Disappointment in Zimbabwe...
Sean Kingstonn was in Zimbabwe last week..and...I like this guy, went to one of his shows once or twice,heck he's okay but well..I guess he was kind of a Disappointment in Zimbabwe...
AJARI YA NDEGE YAUWA WATU 25 INDOESIA
Authorities   have  announced that a regional transport aircraft from Indonesia   crashed into  the sea, in Papua province. 25 people have died.
The device, MA-60 type, Chinese manufacturing, “fell into the sea about 500 meters from the runway while it was in the landing stage” on Kaimana airport in a small town in West Papua, said ministerial official, Bambang Ervan.
The aircraft of the Indonesian Merpati Nusantara Company has “exploded” and disintegrated when reached the water, said Gunawan, a Navy officer in Papua.
“All passengers have died” and “15 bodies were recovered from the water.” The others are probably in the wreckage of the aircraft, according to him.
DADA YBHOKE AKIJIACHIA NHUKO BIG BROTHER 
Mambo  katika jumba la BBA 6 yameanza kuchangamka ambako wana dada wawili wa  Kitanzania ambao wote ni watangazaji wa vituo vya televisheni nchini  wanawakilisha.
MARIAH CAREY AWAPA MAJINA WATOTO WAKE
kipindi ana mimba
 
 
punda mwenye rangi ya pinki hutumika kutangaza moja ya mgahawa mmoja huko mexico.

MARIAH CAREY AWAPA MAJINA WATOTO WAKE
kipindi ana mimba
Mwanamuziki wa majuu mariah carey amewapa majina watoto wake aliozaa na mumewe nick cannon,mtoto wa kwanza kapewa jina laMorocea scott cannon na mwngine anakwenda kwa jina la mariyln monroe cannon.
Watoto hap walizaliwa jumapili ilyopita huko Los Angels,usa,NYETI KUILIKO NYETI TULIZONAZO
 
 punda mwenye rangi ya pinki hutumika kutangaza moja ya mgahawa mmoja huko mexico.

Hawa je wanatangaza nini?,PINK...
kTUZO ZA TASWA KATIKA PICHA JANA USIKU 
 Mgeni  rasmi,Makmau wa Rais,Dr Gharib Bilal pamoja na Waziri wa   Vijana,habari,utamaduni na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi wakiwa katika  picha ya pamoja na washindi waliojinyakulia zawadi mbalimbali usiku wa  huu kwenye hafla ya tuzo za TASWA zilizothaminiwa na kampuni ya bia ya  Serengeti.
Mgeni  rasmi,Makmau wa Rais,Dr Gharib Bilal pamoja na Waziri wa   Vijana,habari,utamaduni na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi wakiwa katika  picha ya pamoja na washindi waliojinyakulia zawadi mbalimbali usiku wa  huu kwenye hafla ya tuzo za TASWA zilizothaminiwa na kampuni ya bia ya  Serengeti. Mgeni  rasmi,Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal akimkabidhi tuzo kwa mchezaji wa  jumla Bi.Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa netiboli katika timu ya  JKT Mbweni.Mwanaidi ndiye alijijinyakulia gari aina ya Toyota GX  100,iliyotolewa na kampuni ya bia ya Serengeti ambao ndiyo waliokuwa  wadhamini wakuu wa tuzo hizo za kumsaka mwanamichezo bora wa Mwaka  zilizoratibiwa na TASWA,kusho ni Waziri wa  Vijana,habari,utamaduni na  michezo Mh.Emmanuel Nchimbi akishuhudia tukio hilo.
Mgeni  rasmi,Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal akimkabidhi tuzo kwa mchezaji wa  jumla Bi.Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa netiboli katika timu ya  JKT Mbweni.Mwanaidi ndiye alijijinyakulia gari aina ya Toyota GX  100,iliyotolewa na kampuni ya bia ya Serengeti ambao ndiyo waliokuwa  wadhamini wakuu wa tuzo hizo za kumsaka mwanamichezo bora wa Mwaka  zilizoratibiwa na TASWA,kusho ni Waziri wa  Vijana,habari,utamaduni na  michezo Mh.Emmanuel Nchimbi akishuhudia tukio hilo. Rais   mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William  Mkapa,akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali mara baada ya  kuipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya   Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal,Mh Mkapa amesisitiza kuwa  uwanja huo unapaswa uendelee kutunzwa vyema  ili nchi yetu iendelee kuwa  na kumbukumbu na urithi kwa vizazi vijavyo.
Rais   mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William  Mkapa,akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali mara baada ya  kuipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya   Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal,Mh Mkapa amesisitiza kuwa  uwanja huo unapaswa uendelee kutunzwa vyema  ili nchi yetu iendelee kuwa  na kumbukumbu na urithi kwa vizazi vijavyo. Rais  mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa,  akipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, chama cha waandishi wa  habari za michezo (TASWA) kimempa mzee Kkapa tuzo hiyo maalum ya  heshima, kutokana na mchango wake katika michezo hasa ujenzi wa uwanja  mpya wa Taifa,Mh Mkapa amesisitiza uwanja huo uendelee kutunzwa vyema  ili nchi yetu iendelee kuwa na kumbukumbu na urithi kwa vizazi  vijavyo,pichani kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya  Serengeti (SBL) Teddy Mapunda. Katika utoajiwa tuzo hizo mchezaji wa  jumla ni Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa Netball katika timu ya JKT
Rais  mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa,  akipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, chama cha waandishi wa  habari za michezo (TASWA) kimempa mzee Kkapa tuzo hiyo maalum ya  heshima, kutokana na mchango wake katika michezo hasa ujenzi wa uwanja  mpya wa Taifa,Mh Mkapa amesisitiza uwanja huo uendelee kutunzwa vyema  ili nchi yetu iendelee kuwa na kumbukumbu na urithi kwa vizazi  vijavyo,pichani kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya  Serengeti (SBL) Teddy Mapunda. Katika utoajiwa tuzo hizo mchezaji wa  jumla ni Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa Netball katika timu ya JKT Rais  mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa  akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti  Breweries Ltd,Teddy Mapunda kwa kudhamini tuzo hizo za kuwapa heshima na  kuwathamini wanamichezo wetu hapa nchini.Anaeshuhudia kwa nyuma ni  Mgeni Rasmi,Makamu wa rais Dr Gharib Bilal.
Rais  mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa  akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti  Breweries Ltd,Teddy Mapunda kwa kudhamini tuzo hizo za kuwapa heshima na  kuwathamini wanamichezo wetu hapa nchini.Anaeshuhudia kwa nyuma ni  Mgeni Rasmi,Makamu wa rais Dr Gharib Bilal. Mwenyekiti wa bodi ya Serengeti (SBL),Mzee Marck Boman akimkabidhi tuzo  mchezaji bora wa kiume wa timu ya Yanga Shadrack Nsajigwa.
  Mwenyekiti wa bodi ya Serengeti (SBL),Mzee Marck Boman akimkabidhi tuzo  mchezaji bora wa kiume wa timu ya Yanga Shadrack Nsajigwa. Mkurugenzi  wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries Ltd,Teddy Mapunda  akimkaboidhi  tuzo yake ya mwanariadha bora wa kiume Marco Joseph,mbele ya wageni  waalikwa waliofika usiku huu,ndani ya Movernpic jijini Dar.
Mkurugenzi  wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries Ltd,Teddy Mapunda  akimkaboidhi  tuzo yake ya mwanariadha bora wa kiume Marco Joseph,mbele ya wageni  waalikwa waliofika usiku huu,ndani ya Movernpic jijini Dar. Mwenyekiti  wa chama cha Michezo (TASWA),Juma Pinto akizunguma mbele ya wageni  waalikwa mbalimbali waliofika kushuhudia utoaji tuzo kwa wanamichezo  mbalimbali akiwemo na mwanamichezo bora kwa ujumla usiku huu ndani ya  hotel ya Movernpick,jijini Dar.
Mwenyekiti  wa chama cha Michezo (TASWA),Juma Pinto akizunguma mbele ya wageni  waalikwa mbalimbali waliofika kushuhudia utoaji tuzo kwa wanamichezo  mbalimbali akiwemo na mwanamichezo bora kwa ujumla usiku huu ndani ya  hotel ya Movernpick,jijini Dar.
 
 



 
 






No comments:
Post a Comment