Mimi na wewe hadi kifo kitutenganishe - Allan na Mke wake Haika
Nimekuchagua wewe uwe wangu! wangu wa maisha wa kufa na kuzikana - Ni kama Allan anamwambia mkewe haya maneno alipokuwa anamvisha pete.

Nimekuchagua wewe uwe wangu! wangu wa maisha wa kufa na kuzikana - Ni kama Allan anamwambia mkewe haya maneno alipokuwa anamvisha pete.
Mimi ni wako Allan - Haika akimuhakikishia Allan mbele ya umati wa watu
Kwa Shida na raha - Allan akila kiapo mbele ya Shahidi wake Banana Zahor
Hayawihayawi yamekuwa -Allan na Haika wathibithishwa kuwa Mume na Mke
Ishara ya Upendo.
No comments:
Post a Comment