Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, February 29, 2012

MEKU AJIKATA UUME WAKE KUEPUKA USUMBUFU WA WANAWAKE

 Rombo Moshi Kilimanjaro, Bw. Priva Elian (9) amejikata sehemu zake za siri na kuziondoa kabisa kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Amefanya hilo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili.
Wanawake wawili wanaomgombea Priya kiasi cha kumkera na kumfanya afikie uamuzi huo wa ajabu kwa watu wengi. Tukio hilo limetokea Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na hasira kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

Mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake na kumweleza kuwa achukue nyeti hiyo na kuwapelekea wanawake hao ili waigombee. Wakati huo huo, kutokana na kuvuja damu nyingi, majeruhi huyo alipelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Huruma iliyopo wilayani humo akiwa amepoteza fahamu na hawezi kuzungumza.

No comments: