Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, February 16, 2012

JK AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Katikati nii Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na kushoto ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime.

No comments: