
Wanamuziki
hao walitoa kauli za kuushukuru umati mkubwa uliojitokeza kwenye
onyesho hilo wakisema hawakutegemea Mbagala kuwa na mashabiki wa
burudani wengi hivyo.
Shoo
hiyo ilisindikizwa na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’,
Mashauzi Classic Band, Wakali Dancers, Zuhura na wasanii chipukizi wa
muziki wa kizazi kipya huku washiriki wa shindano la “Cheza, Vaa Imba
Kama Rihanna” wakitambulishwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi huo. Kama anavyoonekana jukwaani mwanamuziki Nameless akitumbuiza na mmoja wa mashabiki aliyemwita apande jukwaani.
Wadau wa Dar Live Wakiwa kwenye pozi la pamoja.

No comments:
Post a Comment