Askari wa Jeshi la Polisi usalama wa barabara wakitazama basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR mali ya kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa ambapo abiria 50 wamenusurika kifo.
Pichani ni baadhi ya abiria wakitizama basi hilo baada ya kupinduka katika eneo la Inyala na abiria 50 kunusurika kifo.
Baadhi
ya abiria wakiitafakari ajali hiyo, baada ya kutoka salama salimini,
licha ya mmoja wao kujali zaidi mizigo kwa kuitoa ndani ya basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR mali ya kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa ambapo abiria 50 wamenusurika kifo.
Baadhi ya abiria wakiitoa mizigo ya baada ya basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR mali ya kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa ambapo abiria 50 wamenusurika kifo.
Baadhi ya mizigo iliyotolewa na kuwekwa chini baada ya basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR mali ya kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa ambapo abiria 50 wamenusurika kifo.
Askari wa Jeshi la Polisi usalama wa barabara akitazama basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR mali ya kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa ambapo abiria 50 wamenusurika kifo.(Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya.)
******
Habari na Mwandishi wetu.
Zaidi
ya abiria 50 wa basi la kampuni ya Happy Nation lilokuwa likitokea
Mkoani Mbeya kwenda jiji la Dar es salaam wamenusurika kifo baada ya
basi aina ya Scania lenye nambari za usajili T 281 AAR kuacha njia na
kisha kupinduka katika eneo la Inyala mkoani hapa.
Tukio
hilo lilitokea jana majira saa moja asubuhi jana,basi lilo kuacha njia
na kupinduka baada ya kujaribu kulipisha basi la kampuni ya Nganga
lililokuwa mbele yake katika mtelemko wa Inyala karibu na kituo cha
mafuta cha Tazama Pipeline kilichopo Shamwengo Mbeya Vijijini
Chanzo
cha ajali hiyo ni mwendokasi wa basi hilo na hivyo dereva wa basi hilo
na kushindwa kulimudu na hivyo kupinduka na kusababisha majeruhi, ambapo watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya wakipatiwa matibabu.
Dereva wa basi hilo anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
No comments:
Post a Comment