BOZI BOZIANA ATUA NCHINI KUREKODI NA TWANGA PEPETA
Waandishi wa habari wakimsubiri BOZI BOZIANA
Mwanamuziki nguli wa JAMUHURI ya KIDEMOKRASIA ya CONGO, BOZI  BOZIANA amewasili nchini kwa ziara kikazi katika kuzikonga nyoyo za  wapenzi wa muziki wa dansi kwa kushirikiana na bendi ya AFRICAN  STARS,ama  TWANGA PEPETA.
Meneja wa BOZI BOZIANA GODRICK NUNI na  Mkurugenzi wa bendi ya TWANGA PEPETA ASHA BARAKA wanasema mwanamuziki  huyo mkongwe  atakuwa hapa nchini kwa  muda wa  wiki moja na atarikodi nyimbo na bendi ya AFRIKAN STARS.
 UMEZALIWA TAREHE MOJA NA CALVIN KLEAN  ALIYEZALIWA 19NOV1942 HUYU NI MBUNIFU MAARUFU WA MAVAZI NA MITINDO LEBO  YAKE (CK) IKITHAMINIKA NA KUTAMBULIKA KONA NA KONA ULIMWENGUNI.

No comments:
Post a Comment