Miss Tanzania Genevieve  Emanuel mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwlimu  J.K.Nyerere jana akitokea nchini China.
 Warembo kadhaa  wakiwapokea wenzao wakati walipowasili jana kwenye uwanja wa ndege wa  Mwalimu J.K.Nyerere wakitokea nchini China
Warembo kadhaa  wakiwapokea wenzao wakati walipowasili jana kwenye uwanja wa ndege wa  Mwalimu J.K.Nyerere wakitokea nchini China Kutoka  kushoto ni Mkuu wa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania Bw. Albert Makoye,  pamoja na Mrembo wa Chuo Kikuu Kikuu Huria Christina Justine, na Miss  Shinyanga 2010 Buduri Ibrahim kwa pamoja wakiwapokea Miss Tanzania 2010  Genevieve Emmanuel na mshindi wa pili Glory Mwanga kushoto  kwa Genevieve, na Miss Temeke mshindi wa pili Anna Daudi ambao  waliwasili jana kwenye uwanja wa ndege wa Mwlimu J.K.Nyerere wakitokea  Sanya China katika mashindano ya urembo ya dunia.
Mrembo Anna Daudi na Glory Mwanga  walikwenda Sanya China kumpa sapoti Miss Tanzania 2010. pamoja na  Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashimu Lundenga, Katibu Mkuu  Bosco Majaliwa, na mama wa Miss Tanzania 2010 Mrs. Mary Emmanuel  Mpangala.
 
 


No comments:
Post a Comment