Muandishi: Othman Michuzi | Tarehe: Saturday, November 13,  2010
 Mwenyekiti  wa kamati ya ufundi Taifa Godfrey Jax Mhagama akitoa maelezo kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge kabla ya mbio hizo kuanza  rasmi zilizofanyika jijini Mwanza.
Mwenyekiti  wa kamati ya ufundi Taifa Godfrey Jax Mhagama akitoa maelezo kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge kabla ya mbio hizo kuanza  rasmi zilizofanyika jijini Mwanza.   Mkuu  wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, akiinua bendera kama ishara ya uzinduzi rasmi  kwa mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa wanaume na wanawake.
Mkuu  wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, akiinua bendera kama ishara ya uzinduzi rasmi  kwa mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa wanaume na wanawake.    Washiriki  wa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge Kilometa 196 kwa wanaume  wakichuana vikali katika mbio hizo zilizofanyika jijini Mwanza.
Washiriki  wa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge Kilometa 196 kwa wanaume  wakichuana vikali katika mbio hizo zilizofanyika jijini Mwanza.    Washiriki  wa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge Kilometa 196 kwa wanaume  wakichuana vikali katika mbio hizo zilizofanyika jijini Mwanza.
Washiriki  wa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge Kilometa 196 kwa wanaume  wakichuana vikali katika mbio hizo zilizofanyika jijini Mwanza.    Mshindi  wa mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanaume Hamiss  Clement(shinyanga) akimalizia mbio hizo na kuibuka mshindi wa kwanza kwa kutumia  Masaa 5:19:43,kwa kilometa 196.
Mshindi  wa mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanaume Hamiss  Clement(shinyanga) akimalizia mbio hizo na kuibuka mshindi wa kwanza kwa kutumia  Masaa 5:19:43,kwa kilometa 196. Mshindi  wa mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanawake Sophia  Hadson(Arusha)akimalizia mbio hizo na kuibuka mshindi wa kwanza kwa kutumia Saa  2:32:14 kwa kilometa 80.
Mshindi  wa mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanawake Sophia  Hadson(Arusha)akimalizia mbio hizo na kuibuka mshindi wa kwanza kwa kutumia Saa  2:32:14 kwa kilometa 80. 
 
No comments:
Post a Comment