
Balozi  wa Seychelles, Maryvonne Pool, akizungumza  na waandishi wa Habari  kuhusu Tamasha la wiki ya Seychelles inayotarajia kufanyika Nov 15-19  mwaka huu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Msaidizi wa Balozi, Sauda  Simba Kulumanga. 
Picha na Benjamin Sawe- Maelezo 
No comments:
Post a Comment