Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, March 31, 2011

HARUSI YA KANUMBA KATIKA PICHA

 
Window shopping na mitoko ya weekend ilikuwa namna hii.
Enzi za uchumba ilikuwa hivi.mahaba motomoto kila kona.kanumba akijitayarisha kuchukua jiko.(WAIT FOR THE SHOCK"

JIM JONES AKAMATWA KWA KOSA LA KUENDESHA GARI KINYUME CHA SHERIA
Rapper Jim Jones was released from police custody after being arrested in New York City for driving with a suspended license.
 reports that Jones was busted today (March 30th) for driving his 2011 Bentley in the bus lane with a suspended license.
According to the rapper, the New York Police Department showed him the utmost respect during the process, leading him to praise the officers.
"I'm just an entertainer trying to make a living," the rapper told the Daily News. "They showed me total respect. Every officer in there is a gentleman."
Jim Jones is a member of The Diplomats, a rap group that features core members Cam'ron and Juelz Santana, who recently reunited after years of inner-turmoil within the group.
Last week, Juelz Santana missed a performance with Chris Brown in New York City, after police stopped the rapper searching for guns and drugs.
Juelz is currently free on $125,000 bond, after a 10-month investigation by the Bergen County Prosecutors Office and Gang Unit resulted in the raid of his New Jersey studio.
Police found two loaded 9MM handguns and a small amount of marijuana.
As for The Diplomats, the group is currently touring for their reunion, while simultaneously promoting upcoming releases by Jim Jones (CAPO) and Cam'ron and Vado (Gunz & Butta)."
Jim Jones' CAPO is due in stores on April 5th, while Cam and Vado's Gunz N' Butta are due in stores on April 20th.
Jim Jones is also a star in VH1's 8-part docu-soap series "Love & Hip-Hop." 



MACHO YA ADELA YAMPA USUMBUFU DHIDI YA WANAUME. 
Mtangazi wa kipindi cha mahaba na mmliki wa blogu inayozungumzia mambo ya kutupiana mbichi na matatizo yake Adela kavishe amesema ukweli macho yake huwasumbua ssana wanaume wenye mihemuko ya ghafla.
  Hatua hi imempelekea kupata kero nyingi toka kwa wanaume kadhaa wanaolilia usajili kwenye jimbo hilo.
  "wanaume wengi nkitizamana nao huzani nawakaribisha kumbe mie walaa... ndio jinsi nilivyoumbwa tu"  alidokezaa Adela


RICK ROSE AKAMATWA NA BANGI


Toka pande za obama,Rapper toka Miami,William Leonard Roberts II aka Rapper Rick Ross hivi karibuni amekamatwa na polisi akiwa na madawa ya kulevya aina ya bangi aka marijuana pande za hoteli ya Shreveport mjini Louisiana


  Rick Boss  ni muasisi aka founder wa Record Label iitwayo Maybach Music Group mwaka 2008,ila kwa sasa iko chini ya Warner Bros. Records na alikamatwa Ijumaa usiku,baada ya polisi kukuta mlango wa chumba chake kiko wazi na kukuta kitu cha A-Town,ila kwa sasa yuko huru na Rick Ross alikua pande za Lousiana kwa ajili ya kupiga show Kokopellis Night Club kwenye birthday ya DJ Bay Bay na Pia yuko kwenye tour iitwayo I Am Music II tour ya Lil Wayne,wakiwa pamoja na Nicki Minaj na Travis Barker

BAADA YA KUINGIA UK KIMYA KIMYA WAZIRI WA GADDAFI AWEKWA KITIMOTO

Waziri wa mambo ya nje wa Libya Mousaa Koussa
Waziri wa mambo ya nje wa Libya Mousaa Koussa amekuwa akihojiwa na maafisa baada ya kuwasili Uingereza bila kutarajiwa siku ya Jumatano.
Alitokea Tunisia. Ofisi ya Uingereza ya mambo ya nje ilisema "hakuwa na nia tena" ya kufanya kazi na Kanali Gaddafi.
Hata hivyo msemaji wa Libya alikana kwamba Bw Koussa ameasi na kwamba alikuwa katika safari ya kidiplomasia.
Kuwasili kwake Uingereza kumefanyika huku waasi wa Libya wakiwa wamerudi nyuma kwenye miji iliyotekwa hivi karibuni katika pwani ya mashariki.
Kurudi nyuma kwa waasi kulitokana na mapigano makali baina ya Brega na Ajdabiya siku ya Alhamis.
Awali waasi hao walishapoteza bandari muhimu ya mafuta ya Ras Lanuf na mji mwengine ulio karibu wa Bin Jawad.
Upande wa magharibi, mji ulioshikiliwa na waasi wa Misrata bado unaripotiwa kushambuliwa na majeshi ya wanaomtii Kanali Gaddafi.

HONEY OF A DAY -spicy model
sexyspicey-models-photos3.jpg
Hizi ni swagger sio nyasi tupo juu kama kawa mikandamizo inaendelea uniqueentertz blog its another level...

MTOTO WA LOWASA MBARONI KWA KUMGONGA TRAFIKI


   Edward Lowassa
liyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, Bw. Bernard Lowassa (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Oysterbay, Kinondoni, Dar es Salaam kwa tuhuma zakumgonga kwa makusudi askari wa Kikosi cha Usalama barabarani E 9320 Koplo Cyprian akiwa katika kutekeleza majukumu ya kazi.
Watu walioshuhudua tukio hilo waliaalaani na kuhoji sababu za mtoto huyo kufanya hivyo, wengine wakienda mbali zaidi wakidai pengine alifanya hivyo kwa kujiona hawezi kubanwa na sheria kwa kuwa ni mtoto
wa kigogo.
Tuko hilo lilitokea juzi saa 1 jioni eneo la Namanga, Oysterbay  katika eneo la taa za kuongoza magari.
Akiendesha gari lenye namba za usajili T 573 BQV, Corona Primio, kutoka Msasani kwenda Morocco, alikaidi utaratibu wa trafiki huyo wa kuruhusu magari kupita kwa awamu kwa kulazimisha kupita kabla hajaruhusiwa.
Koplo Cyprian pengine kwa lengo la kuepusha magari kugongana na kutaka kuchukua hatua ukaidi wa Bernard, alilazimika kumzuia asipite lakini, bila kujali wala woga, aliendesha gari lake na kumgonga katika mguu na kumsukuma.
Mshuhuda walioshuhudia tukio hilo walisema askari huyo aling'ang'ania gari hilo hadi madereva wengine walipomuokoa kwa kulizuia gari la kijana huyo baada ya kusimama mbele ya gari lake.
Baada ya madereva wengine ambao nao walikuwa wakisubiri kuruhusiwa kupita katika taa hizo kukerwa na kitendo alichokifanya Bernard kumugonga kwa makusudi.
Watu wakiwa na hasira nusura wamshushie kipigo mtoto huyo lakini, askari huyo liwasihi wasifanye hivyo bali waiache sheria ichukue mkondo wake.



 WAPIGANAJI WA I VORY COAST  WAELEKEA MJI MKUU

 

Majeshi yanayomtii Bw Ouattara
Majeshi yanayomtii Rais anayeungwa mkono na Umoja wa Mataifa Alassane Ouattara yanaelekea kwenye mji mkuu wa Ivory Coast, Yamoussoukro.
Majeshi yake hivi karibuni yameteka miji kadhaa na kiongozi aliye madarakani Laurent Gbagbo ametaka mapigano yasitishwe.
Bw Gbagbo amekataa kuachia madaraka licha ya Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa alishindwa kwenye uchaguzi wa Novemba.
Mwandishi wa BBC alisema Yamoussoukro ni mji mkuu tu kwa jina, lakini kutekwa kwake kutakuwa ni ushindi wenye umuhimu mkubwa kwa majeshi yanayomwuunga mkono Ouattara.
Takriban watu 1,000,000 wamekimbia mapigano- hasa katika mji mkuu Abidjan- na karibu 462 wameuawa tangu Desemba, kulingana na Umoja wa Mataifa.
Katika mji wa magharibi wa Duekoue, maelfu ya watu wamejihifadhi kwenye kanisa baada ya kukimbia mapigano wiki hii.



JUHUDI ZA MENGI ZA GONGA MWAMBA MAHAKAMANI
mengi
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, imerejesha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jalada la kesi ya madai ya fidia ya Sh1, inayomkabili Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi na kuagiza kesi hiyo iendelee kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Aloyce Katemana.
Jalada hilo lilitishwa katika mahakama kuu na Jaji Mfawidhi, Semistocles Kaijage,  kufuatia ombi la Mengi kupitia kwa wakili wake, Michael Ngalo.
Katika ombi hilo, Mengi alilalamikia kile alichodai kuwa ni kutokuridhishwa na namna hakimu Aloyce Katemana, anavyondesha kesi hiyo.Malalamiko hayo yalikufuatia tukio la   Februari 11 mwaka huu, wakati haki huyo, alipozikataa nyaraka 14 zilizowasilisha  na Mengi ili ziwe sehemu ya vielelezo vya ushahidi katika utetezi wake.
Februari 23 mwaka huu, wakili wa Mengi, Ngalo alindika barua kwenda  Mahakama Kuu ya Tanzania, akilalamikia jinsi hakimu Katemana anavyoiendesha kesi hiyo.Alidai kuwa hakimu huyo alikuwa analia upande mmoja na kwamba hata uamuzi wake ulikuwa wa mashaka.
Wakili huyo alimuomba Jaji  Kaijage, alipitie jalada la kesi hiyo.Hata hivyo habari zilizopatikana jana zilisema baada ya kupitia jalada hilo, Jaji Kaijage, aliridhika kuwa hakuna ukiukwaji wa sheria wala taratibu katika uendeshaji wa kesi hiyo na hivyo kuagiza jalada lirejeshwe katika Mahakama ya Kisutu, ili kesi iendelee kusikilizwa mbele ya hakimu Katemana.
Pamoja na kurejesha jalada hilo, jaji Kaijage pia alimtaka wakili Ngalo kama atakuwa ,  awasilishe ombi   katika Mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu, ombi la kutaka hakimu huyo ajitoe kusikiliza kesi hiyo



Waziri wa mambo ya nje wa Libya aasi na kukimbilia Uingereza


 KATUNI YA GASSAFI

Waziri wa mambo ya Nje wa Libya , Moussa Koussa ameasi na kukimbilia Uingereza kutafuta hifadhi.Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, mwanadiplomasia huyo pia amejiuzulu. Kwa upande mwengine ; huko Libya kwenyewe, vikosi vinavyomtii Kanali Muammar Gaddafi vinaripotiwa kuwashambulia waasi na kuwalazimisha kuikimbia miji kadhaa waliokuwa wakiidhibiti katika kipindi cha siku mbili zilizopita.
 Waasi hao wameshindwa nguvu hata baada ya wanajeshi wa kigeni wanaoongozwa na NATO kuendelea na operesheni ya Odyssey New Dawn inayoingia siku yake ya 10.Hata hivyo,Waziri Mkuu wa Uingereza aliashiria hapo jana Jumatano kuwa uwezekano wa kuwapa silaha waasi hao upo.
Duru zinaeleza kuwa vikosi vinavyomtii Kanali Muammar Gaddafi vinawashinda nguvu waasi hao.

Wednesday, March 30, 2011

ILIVYOJILI KATIKA PARTY YA KUMPONGEZA TWENTY PERCENT (20%

Aluatan twenty  per akiwa na mkewe pamoja na mtoto wao (aliepakatwa na mkewe) kwa taarifa tu ni kwamba hapo mkewe alikuwa akitoa burudani kwani nae ni muimbaji na aliwahi kushirikiana na mumewe kuimba wimbo wa NINGEKUSAMEHE.. na ndio huo aliokuwa akiuimba hapo

TIMU YA YANGA YAIDUNDA AZAM FC 2-1


Timu ya yanga ya Dar imeiburuza Azama Fc kwa mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru.wafungajiwa wa Yanga  Jerry Tegete, huku lile la Azam likifungwa na John Bocco

T.I.’S Wife Wanted To Take The Rap For Drugs Arrest

tiny_ti_rapper_Arkansas.jpgIncarcerated rapper T.I. could have avoided his stint in jail - his wife TAMEKA ‘TINY’ COTTLE offered to “take the fall” for the star, but confesses “it wasn’t able to be done”.
The Live your Life hitmaker, real name Clifford Harris, Jr., has been in and out of prison over the past year and is currently serving an 11-month sentence in Arkansas for violating his probation following a drug arrest in September (10).
the hip-hop star was jailed in November (10) after he and Cottle were detained by police officers who allegedly found drugs during a search of the couple’s car.
Cottle has now opened up about the circumstances surrounding the arrest, revealing she was willing to go to prison to help the star avoid another jail sentence.
she tells XXL magazine, “I feel like, if you don’t know the details on it, you can’t say I could take the fall. If I could have, I would have said, ‘Well, yeah, that’s me.’
“But it wasn’t able to be done. And for one, there were other people, other friends in the car that could have taken the fall, but it couldn’t happen.
“It’s time-out for any nonsense. We know what to do now. Not that we didn’t then, but things happen. He’s never gonna go back to jail. We can’t have that.”

NEWS IN PICTURE -HARUSI TRADE FAIR 2011, MAMBO MOTOMOTO

Mustafa Hassanali, briefs journalists about the upcoming event of Harusi Trade Fair 2011 which will be held at Diamond Jubilee starting on 1st to 3rd April this year. Left is Markerting Manager of Mustafa Hassanali, Hamis Omary
PR&MEDIA Manager of Mustafa Hassanali, Mfaume Shaban speaks during the Press Conference as Mustafa Hassanali (centre) and Hamis Omary, Marketing Manager of Mustafa Hassanali listens in Dar es salaam today..



Uganda yamkaribisha Gadhafi

Msemaji wa rais wa Uganda amesema kiongozi wa Libya, kanali Muammar Gaddafi anakaribishwa nchini Uganda. Kwa mualiko huo, Uganda inaonekana kuwa nchi ya kwanza kusema itamkaribisha Gaddafi. Msemaji wa rais Yoweri Museveni, Tamale Mirundi, ameliambia shirika la habari la Associated Press hii leo, kwamba sera ya Uganda ni kuwapa ukimbizi wanaowasilisha maombi yao kuishi uhamishoni nchini humo. Aidha Mirundi amesema sera hiyo ipo kwa sababu raia wengi wa Uganda waliikimbia nchi wakati wa utawala wa dikteta Iddi Amin. Televisheni ya al Arabiya iliripoti kwamba Uganda ingemkaribisha Gaddafi baada ya nchi za magharibi na mataifa mengine kupendekeza aende uhamishoni, lakini haikutoa taarifa zaidi. Naibu waziri wa mambo ya nchi za kigeni, Henry Okello Oryem, amekanusha ripoti hizo akisema ni uvumi. Hata hivyo amesema wameijadili Libya leo kwenye kikao cha mawaziri, na Uganda itamruhusu Gaddafi kuishi uhamishoni nchini humo iwapo atawasilisha ombi lake.

 

Sexy Jamaican Honey Leesangh Lewis

Jamaican_honey_models_photos_girls_Leesangh_Lewis.jpg 
cick older post uate zilizopita

BIBI MWINGINE AJITOKEZA KUTOA KIKOMBE KAMA BABU WA LOLIONDO



Baada ya Mchungaji Mwasapila wa Loliondo,Dogo wa Mbeya sasa kuna Bibi ameibuka toka Tabora,Magreth Mutalemwa (40) mwenye Mume na watoto wanne anayeishi Urban Quarter,Uzunguni-Tabora,naye anadaiwa kutoa kikombe cha dozi kwa shs 500,ambacho Kinawatibu magonjwa wale wote wenye kusumbuliwa na magonjwa mbali mbali

Bibi ameanza tangu tarehe 21/March/2011,baada ya kudaiwa kuoteshwa kabla ya tarehe 21 na kuidharau ndoto ile alianza kupata matatizo lakini baada ya kuanza kufanya yale aliyotakiwa kufanya matatizo yakaisha ndio mpaka leo anatibu watu

Ndio mimewasikia Mchungaji Mwasapila, Babu dogo wa Mbeya na ninavyoona mimi huu ni uwezo wa Mwenyezi Mungu tu,kwani katika uoteshwaji wangu nakumbuka sauti iliniambia tupo watatu na tumetunukiwa roho safi kufanya shuhuli hii ya kutoa tiba.Kwa hiyo naamini hao ni wawili na mimi ni wa tatu na ndio tuliotunukiwa” alifunguka Bibi Magreth Mutalemwa toka Urban Quarter,Uzunguni-Tabora
Watu wakimiminika kupata kikombe cha bibi huko tabora.
yule mganga wa mbeya huyu hapa chini
jafar welino(17)
Add Image

  Happy birthday uniqueentertz.blogspot.com

  Am Magese,nawashukuru watizamaji wote kwa kunipa kampani yakutosha kwa mwaka mmoja uliopita pia mwenyezi mungu kunipa nguvu na uhai wakuwapa mavituz ya ukweli,taerhe 1 april tunatimiza mwaka mmoja. www.uniqueentertz.blogspot.com

 


EXLUSIVUU..!! BIFU ZITO NEY (wa mitego) Vs SHALOBALO (wapaka poda)
Wadodosaji katika duru la muziki wamesema hii iyakua chuki ya kudumu kufatia mistari ya msanii wanamuziki wa kizazi kipya ney (wa miego) kuwachana vikali machekibobu wa shalobalo.

 BREAKING NEWZ

GURUMO ALAZWA MUHIMILII LEO!

Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' Muhidin Gurumo amelazwa Hospitali ya Muhimbili leo, hii ni kutokana na habari zilizotufikia kutoka kwa mdau zikisema.
STAILI MPYA ZA DADA ZETU HAWATAKI TENA WANAUME

Jackline Pentzel (jacky wa chuzi) pamoja na Miriam jolwa (Jini kabula),madai waechoshwa na wanaume wanataka radha mpya kimapenzi.
Kwa staili hii kizazi kijacho familia itakuwa sio taasisi ya kujenga maadili kama mama zetu hawa  wa siku za usoni kujumuika katika matanio ya jinsia moja.


GHANA WAWATUNISHIA MISURI ENGLAND

Coach Fabio Capello believes striker Andy Carroll is still short of his best form, despite scoring his first England goal in the 1-1 draw against Ghana.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akitembelea mashamba ya kilimo cha mpunga katika mabonde ya Mto wa Mbu Wilayani Monduli, wakati alipokuwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo Mkoani Arusha leo. kulia Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Isidore Shirima
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia mashamba ya kilimo cha mpunga katika mabonde ya Mto wa Mbu Wilayani Munduli, alipokuwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo Mkoani Arusha leo.Picha na Amour Nassor VPO.



CHRISS BROWN KAOMBA RADHI  

As he cavorted on stage with semi-naked women just hours after his violent outburst on Tuesday, Chris Brown certainly showed no signs of feeling remorseful.

      But the 21-year-old singer insists he is in fact sorry for flying into a rage after his appearance on Good Morning America and leaving behind a smashed window in his dressing room.
'First of all, I want to apologise to anybody who was startled in the office, or anybody who was offended or really looked, and disappointed at my actions,' Brown said on BET's 106 & Park show.
'Because I'm disappointed in the way I acted,' he added. 'Yes, I got very emotional. And I apologise for acting like that.'

Brown insists he wasn't aware TV anchor Robin Roberts would be asking him questions about his 2009 arrest for assaulting pop star Rihanna.
He said his team had issued a list of 'talking points' for the host adhere to and added that he was 'thrown off' when the topic of his ex girlfriend's restraining order was raised.
Roberts has previously said her guest was made aware of her line of questioning in advance of the live interview.
     'I felt like they told us this just so they could get us on the show to exploit me. That’s what I thought. So I kind took it very, very hard,' said Brown.t
He added: 'I kept my composure throughout the interview, although you could see me upset, you know. I kept my composure and did my performances, and when I got back, I just let off, like, steam in the back.'
He continued: 'I didn't physical hurt anyone, I didn't want to hurt anyone, I just wanted to release the anger that I had inside of me.'
       A statement issued by ABC News said: 'Chris Brown was invited on Good Morning America to perform and to be interviewed. There were no talking points offered.'
After his backstage meltdown, Brown continued with his day as planned.
He visited the Opera Gallery and played a game of basketball at Manhattan's Greenwich Village.
He then enjoyed dinner with his girlfriend Karrueche Tran before heading on to his album launch party at New York's Webster Hall.

      At the event, which marked the release of his record F.A.M.E., he performed on stage with dancers who were wearing no more than their underwear.
Meanwhile, his mother Joyce is said to be 'very disturbed and upset' over her son's recent behaviour, according to Radar Online.
'Joyce spoke with Chris immediately after he left the studio in midtown,' a source close told the U.S. website.
      'She was very, very upset with him. Joyce isn't only his mother, but his manager as well.'
Brown's appearance on Lopez Tonight has been cancelled however he is still scheduled to sing on Dancing With the Stars next week.

TP MAZEMBE KUTUA DAR IJUMAA

OFISA HABARI WA SIMBA, CLIFFORD NDIMBO
MABINGWA wa soka barani Afrika TP Mazembe ya Congo wanatarajiwa kuwasili ijumaa tayari kwa mechi yao ya marudiano na Simba itakayopigwa jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ofisa habari wa Simba Clifford Ndimbo ametaja viingilio vya mechi hiyo kuwa ni :
Sh.40,000 (VIP A), sh.20,000 (VIP B), sh.10,000 (VIP C), sh.8,000 (VITI VYA ORANGE), sh.5,000 (VITI VYA KIJANI NA BLUU).
Tiketi zitauzwa katika vituo vifuatavyo:MIGAHAWA YA STEERS, VITUO VYA MAFUTA VYA BIG BON, JENGO LA BENJAMIN MKAPA, BP MWEMBECHAI NA UWANJA WA TAIFA.

Rihanna reveals her sexual fantasies


The R&B singer confesses to being a sexual masochist, something she is not proud of but believes to be the result of abuse she received as a child.
R&B pop sensation Rihanna will fill the front page of the next edition of Rolling Stone magazine, within whose pages she makes some revealing confessions about her sex-life: "I live feeling like I'm somebody's girl," says the singer.
In a totally spontaneous and honest way, Rihanna opens up to the publication about her most intimate secrets: "I love to be tied up and spanked," she reveals.
"Using whips and chains is too planned... you have to stop and look for the whip. I prefer them to use their hands,"
she adds.
During the interview the singer also says she has to make so many decisions on a daily basis, that in her private life she likes to feel like someone else is in charge. She also declares herself a masochist, something she confesses to not being very proud of, but which she attributes to the abuse she suffered as a child.
Rihanna tells Rolling Stoneshe was just nine years old the first time she saw her father smoke crack: "I was always terrified on Friday because he could come home drunk. That was payday, and half of it went on alcohol," says the artist.
Unbelievable as it may seem, Rihanna says she lives on a diet of chips, cheetohs and KFC, though she is fully aware of the damage this could have: "your tits and ass are the first to go".

Tuesday, March 29, 2011

Majeshi ya Gaddafi yawazidi nguvu waasi


Askari wanaomtii Kanali Gaddafi mjini Misrata
Majeshi yanayoiunga mkono serikali yamezidi kuwashambulia waasi nchini Libya, nahivyo kuwalazimu kurejea nyuma katika mji wa Bin Jawad.
Mapigano hayo mapya yameibuka baada ya wajumbe kutoka nchi mbalimbali kukutana mjini London kwenye mkutano wa kujadili mipango ya usoni ya Libya.
Awali Rais wa Marekani Obama alijitetea kwa kufanya uamuzi wa kuidhinisha harakati za kijeshi kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani, akisistiza Marekani imejihusisha kwa kiwango kidogo.
Lakini pia alisema kumwondoa Kanali Gaddafi kwa nguvu ni kosa.
Majeshi yanayompinga Kanali Gaddafi yamesogea sana upande wa magharibi kutoka kwenye ngome yao ya Benghazi katika siku za hivi karibuni- wakisaidiwa sana na mashambulio ya anga ya kimataifa- yakiteka idadi kadhaa za jamii za kipwani na mitambo muhimu ya mafuta, ikiwemo Ras Lanuf, Brega, Uqayla na Bin Jawa


Wamali washangilia wachezaji wa Gaddafi


Mashabiki wa mpira Bamako, Mali
Maelfu ya raia wa Mali walijitokeza kuishangilia timu ya Libya katika kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye mji mkuu wa Mali.
Mashindano hayo yalifanyika Bamako kutokana na sababu za kiusalama nchini Libya.
Takriban raia 20,000 wa Mali walijitokeza kushuhudia shindano hilo, wengi wakiwa wamebeba mabango wakipinga uvamizi unaofanywa na nchi za magharibi nchini Libya.
Kapteni Tariq Ibrahim al-Tayib aliiambia BBC baada ya kuichapa Comoro mabao 3-0, "Tumeguswa sana na watazamaji wa Mali"
Mwandishi wa habari aliyopo Bamako Martin Vogl alisema serikali ya Mali ina uhusiano wa karibu na kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi na huungwa mkono sana nchini humo.
Baada ya kila goli katika shindano hilo lililofanyika siku ya Jumatatu jioni, mashabiki hao walikuwa wakiita: "Gaddafi! Gaddafi!," alisema.
Bw Tayib alisema wachezaji wengi hawakuweza kucheza kwasababu walikuwa wanaishi Benghazi, mji ulioshikiliwa na majeshi yanayopambana na Kanali Gaddafi.
Lakini alisema hakuna mgawanyiko wowote wa kisiasa upande wa timu ya soka ya taifa.
Alisema, "Timu nzima inamwuunga mkono Muammar Gaddafi".
Siku ya Ijumaa, maelfu ya Walibya walipita mitaa ya Bamako kuonyesha nia yao ya kumwuunga mkono kiongozi huyo wa Libya- wakiandamana kuelekea kwenye mabalozi ya Ufaransa na Marekani kupinga nchi hizo kujihusisha katika harakati za kijeshi dhidi ya Kanali Gaddafi.

Minaj gives Lil Wayne a lapdance

nicky_minaj_lil_wayne_kiss.jpg
Rap sensation Nicki Minaj gave her mentor and tourmate Lil Wayne a night to remember on Sunday, when she treated him to a sexy lapdance during their concert in New York.
The stars took their I Am Music II trek to Long Island for the first of two dates at Nassau Coliseum and gave fans an eyeful during Minaj'sWayne. set, when she decided against pulling a lucky fan up onstage for her concert stunt - and instead chose to bump and grind against a smiling
Before launching into her verse on Sean Kingston'sLetting Go (Dutty Love), she told the hip-hop star, "You got the big moves, legs open, hands behind your back, mouth shut. Let's go!" reggae tune
But the raunchy dance proved a little too much for the Lollipop star - he fell off his chair as soon as Minaj completed the cheeky routine.
The lapdance wasn't the only surprise at the gig - rapper Busta Rhymes joined Wayne onstage for their parts on the Chris Brown track Look At Me Now, although the R&B singer was not present for the performance.
The tour stop marked Wayne's first live show in the Big Apple since walking free from the city's tough Rikers Island prison last year. The star served an eight-month term for a weapons possession charge.


mtoto Adela jicho litakudondoka..... wacha wee..!!


tembelea blogu yake upate stori za mahaba,simulizi za kitandani,maisha na mahusiano ya kutupiana mbichi nk

 

   Danny Welbeck aitwa kikosi cha England,ghana na england kukiputa leo usiku

Mshambuliaji wa Sunderland Danny Welbeck ameitwa katika kikosi cha England kitakachocheza na Ghana siku ya Jumanne katika uwanja wa Wembley.
Danny Welbeck
Danny Welbeck
Welbeck mwenye umri wa miaka 20, ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo akitokea Manchester United, anajiunga na kikosi hicho kutokana na kuumia winga wa Tottenham, Aaron Lennon.
Lennon anasumbuliwa na misuli ya paja baada ya kufanya mazoezi na kikosi cha England siku ya Jumatatu.
Meneja wa England Fabio Capello, anatarajiwa kufanya mabadiliko ya wachezaji saba kwenye timu yake waliocheza dhidi ya Wales siku ya Jumamosi.
Kiungo wa Manchester City Gareth Barry, atakuwa nahodha wa kikosi cha England baada ya nahodha wake mpya John Terry kuwemo katika orodha ya wachezaji sita waliopumzishwa kwa ajili ya mechi hiyo dhidi ya Black Stars.
Frank Lampard na Ashley Cole pia wamepumzishwa katika kikosi hicho cha England, pamoja na mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney na mlinzi wa Tottenham, Michael Dawson.
Kyle Walker wa Aston Villa yeye amerejeshwa katika klabu yake kutokana na kuumia.
Welbeck alifunga bao maridadi wakati timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 ilipoilaza Denmark 4-0 siku ya Alhamisi, lakini baadae kocha Stuart Pearce alimruhusu aondoke kambini baada ya England kufungwa mabao 2-1 na Iceland siku ya Jumatatu.
Amekuwa na msimu mzuri katika timu ya Sunderland, ambapo ameshafunga mabao sita likiwemo bao moja walipopata ushindi wa mnono wa kukumbukwa wa 3-0 dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, lakini alipata matatizo ya kuumia goti mwezi wa Januari.
Iwapo Welbeck atacheza katika kikosi hicho cha England, atakabiliana na mchezaji mwenzake wa Sunderland anayechezea Ghana, Asamoah Gyan.

Wamali washangilia wachezaji wa Gaddafi


Mashabiki wa mpira Bamako, Mali
Maelfu ya raia wa Mali walijitokeza kuishangilia timu ya Libya katika kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye mji mkuu wa Mali.
Mashindano hayo yalifanyika Bamako kutokana na sababu za kiusalama nchini Libya.
Takriban raia 20,000 wa Mali walijitokeza kushuhudia shindano hilo, wengi wakiwa wamebeba mabango wakipinga uvamizi unaofanywa na nchi za magharibi nchini Libya.
Kapteni Tariq Ibrahim al-Tayib aliiambia BBC baada ya kuichapa Comoro mabao 3-0, "Tumeguswa sana na watazamaji wa Mali"
Mwandishi wa habari aliyopo Bamako Martin Vogl alisema serikali ya Mali ina uhusiano wa karibu na kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi na huungwa mkono sana nchini humo.
Baada ya kila goli katika shindano hilo lililofanyika siku ya Jumatatu jioni, mashabiki hao walikuwa wakiita: "Gaddafi! Gaddafi!," alisema.
Bw Tayib alisema wachezaji wengi hawakuweza kucheza kwasababu walikuwa wanaishi Benghazi, mji ulioshikiliwa na majeshi yanayopambana na Kanali Gaddafi.
Lakini alisema hakuna mgawanyiko wowote wa kisiasa upande wa timu ya soka ya taifa.
Alisema, "Timu nzima inamwuunga mkono Muammar Gaddafi".
Siku ya Ijumaa, maelfu ya Walibya walipita mitaa ya Bamako kuonyesha nia yao ya kumwuunga mkono kiongozi huyo wa Libya- wakiandamana kuelekea kwenye mabalozi ya Ufaransa na Marekani kupinga nchi hizo kujihusisha katika harakati za kijeshi dhidi ya Kanali Gaddafi.

 

 KANYE WEST ATUPA MBICHI KWA TAYANA TAYLOR
Word on the street is Kanye West is now dating Teyana Taylor.

We heard rumors of the young Harlem knight being signed to G.O.O.D. Music but nothing has been confirmed. Teyana Taylor has recently broken up with NBA player Brandon Jennings and rumor is she is on with kanye west.

Illseed has talked about this already, but rumor is Kanye is smitten with her and intrigued by her body and innocence. Teyana is currently has a role in Tyler Perry's new movie "Madea's Big Happy Family" and rumored to featured on "Watch The Throne."



    Taylor akiwa ndani ya run way
If any of this is true S/O 2 my fellow Harlem Knight. Teyana Taylor has talent and she deserves her whats due she has been working hard for some time now.

Did Teyana Taylor Sign To Kanye’s GOOD Music Label?
Jazzy F. checking in with the homie illseed and if you want that real NYC ish! follow m

Operesheni ya Libya inayatimiza matakwa yetu asema Rais Obama

Rais Barack Obama wa Marekani ameielezea operesheni ya kijeshi ya Odyssey New Dawn inayoendelea nchini Libya kuwa harakati zinazoenda sanjari na matakwa ya kitaifa ya nchi yake.

 Kiongozi huyo alisisitiza kuwa endapo hatua zisingechukuliwa,hilo lingeacha doa kubwa katika dhamiri ya ulimwengu.Rais Obama alieleza kuwa Jumuiya ya Kujihami ya NATO itaanza kuyatimiza rasmi majukumu yake nchini Libya hapo Jumatano (30.03.2011).Hata hivyo,Rais Obama aliahidi kuwa operesheni hiyo itachukua muda mfupi zaidi na gharama zake zitakuwa chache ikilinganishwa na vita vya Iraq.Kauli hizo zimetolewa muda mfupi kabla ya kikao cha kimataifa kitakacholijadili suala la Libya kuanza mjini London(29.03.2011).Mkutano huo utawaleta pamoja wawakilishi wa mataifa 35.Wakati huohuo,waasi wanaendelea na mashambulio yao yanayoelekea eneo la magharibi la Sirte anakotokea Kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi

JESHI LA POLISI LIMEWASHINDWA NA MAJAMBAZI WA SENGEREMA?

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema,WASAIDIE HUKO SENGEREMA

    Majambazi wanaotishia usalama wa raia wilani sengerema wameendelea kukata watu mapanga,kuiba kwa kuwaingilia usiku wa manane.

    Wimbi la ujambazi huu limeendelea kufanywa na watu wanatuhumiwa ni majambazi sugu wanaosaka mali kwa nguvu dhidi ya raia wema wilani sengerema.

    Wakazi wa wilaya hiyo wameingiwa na simanzi hasa inafika jioni kwani watu wengi huingiliwa na majambazi hayo yakimaliza kazi zao huondoka bila woga wowote kwa kutembea taratibu kwa miguu kama mameneja wanavyoondoka baada ya muda wa kazi.

  Baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo wamelilaumu jeshi la polisi wilani humo kutoa ushirikiano hafifu wa kutokomeza janga hili la kiusalama kitu kinachopelekea hisia kuwa kana kwamba majambazi hao wanapewa "corabo" flani na na baadhi ya askari.

   Mi mwenyewe dada yangu suzana magese  anayekaa wilani humo kaingiliwa mara mbili na shemeji yangu kukatwa mapanga kichwani lanini uovu huo bado unaendelezwa na majambazi hao bila hofu yoyote.POLISI MKO WAPI?


Eneo la asili la Gaddafi lashambuliwa


Muasi Libya
Uvamizi wa anga unaofanywa na majeshi ya muungano umeshambulia eneo alipozaliwa Kanali Muammar Gaddafi huko Sirte, eneo muhimu linalolengwa na waasi lililopo upande wa magharibi.
Msemaji wa serikali ya Libya alisema raia watatu wa Libya waliuliwa kwenye bandari ya nchi hiyo.
Uvumi ambao haukuthibitishwa kuwa waasi waliudhibiti mji wa Sirte ulisababisha waasi kufyatua risasi kwa minajil ya kushangilia kwenye mji walioukhodhi wa Benghazi.
Waandishi wa kigeni Sirte walisema walisikia milipuko mikubwa kwenye mji huo huku ndege zikipita angani.
Msemaji wa waasi huko Benghazi alisema Sirte sasa ilikuwa mikononi mwa majeshi ya waasi- lakini hakujakuwa na uthibitisho binafsi kutokana na madai hayo, na waandishi wa habari wa kimataifa ndani ya mji huo walisema bado unadhibitiwa na serikali.
Wakati huo huo, Qatar ni taifa la kwanza la kiarabu kutambua uongozi wa waasi- Baraza la Taifa la Mpito- kama wawakilishi rasmi wa watu wa Libya.


PLIERS NA CHAKA DEMUS KUTUMBUIZA UGANDA

plies na chaka demus kutua uganda kwaajili ya onesho la pasaka mbapo wataimba siku mbili tofauti ikiwa ni siku ya pasaka(jumapili na jumatastu ya pasaka).
  Onyesho hili limeandaliwa na mwanamuziki jajiri nchini uganga namzungumzia Bebe cool.


 

Monday, March 28, 2011

LINAH AJIBU HOJA ZA HADIJA KOPA

   linah akipagawisha mashabiki wa bongo flava
Msanii chipukizi wa kizazi kipya linah amejibu hoja za hadija kopa mwanamuziki mkongwe katika gemu la muziki nchini Tanzani ni baada ya kutoridhioshwa na matokeo ya tuzo ya msanii bora wa kike 2010.
   Akitujuza kwa njia ya simu mchana huu linah amesema mtu yoyote asiyekubaliana na matokeo hayo hana nia njema na kipaji chake kwani kura hakujipigia bali mashabiki ndio waliotuma sms za kuchagua linah awe mshindi wa Tuzo hiyo.
    "msanii mkubwa kama hadija kopa anatakiwa kunisaidia kwa kunishauri na sio kukosoa kwanini kakosa kupewa tuzo hiyo" alilalama linah.hata hivyo wasanii kadhaa akiwemo Lady jay dee,shaa na mwasiti wameshow love dhi ya linah kwa kumtwangia simu na kumpongeza kuchukua tuzo hiyo ambayo ilitizamwa kwa macho sabini na wasanii wa kike.
   Wadodosaji wa mambo ya huzunu na furaha wanasema kuwa Mwasiti alitoa chozi baada ya kutangazwa linah ndiye mshindi, kitu kilichowafanyawatu wengi kujiuliza je chozi lile liulikuwa ni la furaha kuskiana linah mwana  THT mwenzaqke kuchukua tuzo hiyo ama ilikuwa ni uchungu wa kukosa Tuzo hiyo.
   "Huu ni muda wa vipaji na muda wa wasanii wa kale unakaribia kuisha,huu ni muda wangu ndiyo maana watu wamenikubali zaidi yao,najua vijana wengi wananikubali sana hasa mavyuoni na mashuleni ndiko kura zangu nyingi najua zimetokea huko" alijigamba linah.
   Licha linah kutamba na nyimbo kibao amekili kutungiwa nyimbo nyingi na boyfriend wake Amini na zingine huwa anatungiwa na bosi wa Luge mutahaba,barnaba na dogo dito,hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma kali ambayo anasema itakuwa moto wa kuotea mbali.


KIGOMA HAINA STENDI YA MABASI
   Habari za kichokonozi zinaskuwa mji wa kigoma hauna stendi maalum kwa wasafiri japokuwa wilaya zake zina stendi ambazo ni bora kuliko ya mjini humo ambo wasafiri hupata taabu kuulizia wapi basi fulani linakopaki ambapo kwa kwaida mabasi hayo hupaki mitaa tofautitofauti kutokana tajiri wa gari atakapoamua magar yake yalazwe wapi ndiko abiria huhukohuko.


     NYIMBO ZA 20% ZAONGOZA KUPIGWA KATIkA VITUO VYA REDIO NA TV
Toka 20% Apate tuzo 5 vituo vya redio na tv vimeongoza kucheza nyimbo za msanii huyo aliyevunja record ya kili music awards kwa kuondoka na tuzo 5,haijapata kutokea kila mitaa sasa ...chunga tamaa mbaya...tunarudishana nyuma kwa mambo ya kuibiana ..oooh!