Watu mashuhuri,wanasiasa na wasanii mbalimbali wameonekana wakienda kunywa dawa hiyo,hivi karibu kwa habari zisizo rasmi inasemekana mjomba alitua na elkopta akapipafu kadhaa then akaendelea na majukumu ya kitaifa.
Mtambo wa Nyuklia walipuka Japan
Kumetokea mlipuko mwingine  katika kinu cha kinukilia kilichoharibiwa na tetemeko la ardhi cha mji  wa Fukushima. Mlipuko huo ulitifua moshi mkubwa katika eneo hilo.
Mlipuko huo wa hewa ya Hydrogen ulitokea katika  mtambo wa tatu, lakini katibu wa Baraza la Mawaziri wa Japan amesema  kuwa hakuna hatari ya kusababisha kuvuja kwa sumu ya kinukilia kutokana  na mlipuko huo ni ndogo sana.Msimamizi wa kiwanda hicho amesema kuwa mlipuko huo haujaharibu kifaa kinacho hifadhi mtambo huo wa kinukilia. Kiwanda hicho kinasema watu sita walijaruhiwa.
Hadi kufikia sasa watu 22 wametibiwa kutokana na madhara ya kuharibika kwa kinu hicho cha kinukilia. Awali Waziri Mkuu wa Japan, Naoto Kan, alisema kuwa kinu hicho kilichoharibiwa kutokana na uharibifu wa Ijumaa kilikuwa katika hali ya hatari.
New Ja Rule LP Lands In Stores Day Before Rapper's Prison Term
Mlipuko wa hewa ya hydrogen ulirusha hewani paa la sehemu moja ya kiwanda mnamo Jumamosi. Mitetemeko midogomidogo imeendelea kutokea maeneo kadhaa nchini humo.AllHipHop News) Queens, New York rapper Ja Rule has announced his new album The Renaissance Project will drop in June, just as he starts a 2-year prison term for being caught with a handgun in July of 2007.
Ja Rule was sentenced to the term after pleading guilty to attempted criminal possession of a weapon.
Earlier this week, the rapper's lawyer revealed that a judge had pushed Ja' surrender date to June, so he could pay off an old tax debt and finish recording his album.
Earlier today (March 13th), Ja took to Twitter and announced the official release date for the album is June 7th, the day before he must surrender to authorities and begin his prison sentence.
The Renaissance Project will be released on Ja Rule's Mpire Music Group, which is distributed and marketed by Fontana Distribution.
Ja Rule is due in court to surrender and start his prison term on June 8th.
Jeshi limeukomboa mji wa Brega, Libya
Televisheni ya Libya inasema  kuwa jeshi limeukomboa mji wa Brega ulioko mashariki kutoka wale  walioelezewa kuwa magenge yenye silaha.
Hali nchini Libya
Majeshi ya Gaddafi yamekuwa yakisonga mbele kwa kasi dhidi ya wapiganaji wasiokuwa na silaha wala uongozi mmoj, katika maeneo ya mashariki na magharibi mwa nchi.
Kukombolewa kwa mji mdogo wa Brega, kama ni kweli, kutathibitisha mkondo ambao umejitokeza katika siku chache zilizopita.
Jeshi la Gaddafi limeweza kugeuza mafanikio ya wapiganaji waliyoyapata wakati upinzani ulipoanza.
Wapiganaji wanasema wanarejeshwa nyuma kwa sababu nguvu zao na zile za upande wa Gaddafi hazilingani.
Wanasema wanashambuliwa na ndege na manuwari na wanataka jumuiya ya kimataifa kufanya haraka kuweka amri ya kuzuwia ndege kuruka katika anga ya Libya ili kupunguza uwezo wa serikali.
Lakini Kanali Gaddafi amelitoa maanani tishio la kuingiliwa kati.
Inavoelekea yeye na wapinzani wake wako tayari kupigana hadi mwisho.
MOVIE  LETU:DOWANS 

Piiipoo!!lile bonge la movielililobamba sana pande za Tz mwaka 2010/2011lijulikanalo kama dowans ambapo sterigi wa movie hiyo Ankoo…!!Alladawi aliibuka baada ya parti 1kuisha.Habari ni kwamba movie hiyo itaendelea hivi punde baada ya kumalizika commered break ya babu wa loliondo….!!
Part  11 coming soon
Ofisa  Viwango wa Tigo, David Zakaria akikabidhi funguo ya gari aina ya Nissan  Hard Body  yenye thamani ya shs milioni 56 kwa mshindi wa promosheni ya  Bahatika na Tigo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Coco Beach, Dar  es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa  Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza wakati wa hafla  ya kukabidhi zawadi ya gari ya promosheni ya Bahatika na Tigo ambako  washindi wawili walikabidhiwa magari yao aina ya Nissan Hard body yenye  thamani ya shs milioni 56 kila moja jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Chidi Benz akifanya vitu vyake katika onyesho hilo.
Joe  Makini akiwachengua umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika  onyesho la Bahatika na Tigo katika viwanja vya Coco Beach jijini Dar es  Salaam.
Sehemu  ya umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika katika viwanja  vya Coco Beach, Dar es Salaam kushuhudia onyesho la Bahatika na Tigo  ambalo washindi  walikabidhiwa magari yao ainaya Nissan Hard Body.
                                         
 She's  not a pinup girl nor is she your playmate of the month. And you know  when they say less is more?  This is what they mean. Dominican born and  New York raised actress Zoe Saldana has a sexiness all her own.  You  might remember her from early films such as Drumline, Pirates of the Caribbean: The Curse of the Black Pearl, and Havenin...
She's  not a pinup girl nor is she your playmate of the month. And you know  when they say less is more?  This is what they mean. Dominican born and  New York raised actress Zoe Saldana has a sexiness all her own.  You  might remember her from early films such as Drumline, Pirates of the Caribbean: The Curse of the Black Pearl, and Havenin...         
SI KWELI DIDDY ANAMZIDI FEDHA BIRDMAN
Wachuguzi wa mambo ya utajiri nchini marekani wamesema hawakubaliani  na twakimu na orodha ya 2011 ya wanamuziki  matajiri kwa kumtangaza diddy a.k.a dirty money kuwa ndiye mwana muziki wa kwanza mwenye hela zaidi kuliko wote 
Wadadafuaji hao wamesema birdman anafedha zaidi na vitega uchumi vyake vingi ni haramu kitu kinachosababisha maingizo hayo yasiingie kwenye twakimu lakini ukweli kwamba birdman ana fedha kinyama kuliko diddy 
Matumizi ya kila siku ya birdman ni kufuru nakayi ya wanamuziki wachache wanaovaa vitu vya dhamani  na magari mengi ya kifahari ivi majuzi  iliripotiwa kuwa baby a.ka birdman anavaa saa yenye thamani ya bilioni 1.5
 
 

No comments:
Post a Comment