wachambuzi wa mambo ya kisanaa nchini Tanzania wanachambua kama ifuatavyo,tunawasifu waandaji wa kill music awards lakini vipi kuhusu tuzo ya albamu bora  haikuepo ni upungufu mojawapo.ingechangia wanamuziki kutoa album bora zaidi.
Muasisi wa tuzo hizi hawamuenzi yeye na mawazo yake kikamilifu kama umuhimu wa tuzo hizo katika mchango mkubwa wa kukuza muziki Tz, msanii wa kimataifa marehemu James Dandu ni wazi kasaulika.R.I.P James Dandu.
Mo tek(jay mo) alioneka kujimilikisha sana tuzo za GSB wadau na wachambuzi wa mambo ya tuzo wanasema.........ngoja niishie hapo tusitaftane buree....!
Baba Mtakatifu Benekidt wa 16 ataka mapigano yasimamishwe nchini Libya
Wapinzani wa Kanali Gaddafi wameingia katika mji wa kusafirishia  mafuta - Ras Lanus leo baada ya kuwatimua  wanajeshi wa Gaddafi  mashariki mwa  Libya.Hata hivyo habari hizo zimetolewa na mpiganaji  mmoja wa wapinzani alienukuliwa na shirika la habari la Reuters.
Akizungumza  akiwa katika njia ya kuelekea kwenye mji wa Ras Lanus  mpiganaji huyo Walid al Arabi aliwakariri wapiganaji wanaompinga Gaddafi  waliokuwa wanatoka mji wa Ras Lanus wakisema kuwa hakuna tena jeshi la  Gaddafi katika mji huo.
Na habari zaidi zinasema kuwa wapinzani wanasonga mbele kuelekea  magharibi.Baada ya kuuteka mji muhimu wa Adjabiya, waandishi wa habari  wamethibitisha kuwa waasi  pia wameuteka mji wa Brega.
Lakini habari nyingine zinasema kuwa majeshi ya Gaddafi yameanza kuushambulia tena mji wa Misrata.
Wakati huo huo waziri wa ulinzi wa Marekani Robert Gates amepinga  wazo la kuuangusha utawala wa Gaddafi na kueleza kuwa hatua hiyo ni ya  utata mkubwa. 
 Baba Mtakatifu  Benedikt wa 16 ametoa mwito wa kusimamisha matumizi  ya silaha nchini Libya.Mwito huo unayahusu pia majeshi ya nje.  Baba Mtakatifu amesema  leo mjini Rome kwamba anauelekeza mwito wake kwa  taasisi za kimataifa na kwa wote wale wenye mamlaka ya kijeshi na  kisiasa. 
Vikosi vya jeshi la muungano vyaishambulia Libya bila huruma
Miripuko ilisikika kwenye mji mkuu wa Tripoli mapema leo na  walioshuhudia wamesema kuwa eneo la rada ya kijeshi lilikuwa likiwaka  moto. 
Ndege za kivita za jeshi la muungano zilifanya mashambulio 150 zaidi  dhidi ya vikosi vya jeshi la Kanali Gaddafi, ukiwemo mji wa mashariki wa  Adjabiya. Mashambulio hayo yamewawezesha waasi kuudhibiti tena mji huo. Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:  Baadhi ya ndege za kijeshi zinazoshiriki katika operesheni nchini Libya
Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:  Baadhi ya ndege za kijeshi zinazoshiriki katika operesheni nchini Libya  
Kuna taarifa kwamba mtoto wa kiume wa Kanali Gaddafi, Saif al-Islam  ameondoka kwa siri nchini humo ikiwa ni katika kuchukua hatua za  kidiplomasia kwa ajili ya kuzuia mapigano zaidi na kuidhibiti hali  iliyopo sasa ya kisiasa na kijeshi ambayo inazidi kuwa mbaya.
Marekani na Jumuiya ya Kujihami ya NATO zinafikiria kuwapatia silaha  wapinzani, zikisema kuwa azimio la Umoja wa Mataifa linaruhusu uwezekano  huo. 
NATO hatimaye pia imekubali kuchukua jukumu la kuongoza operesheni za  kutekeleza marufuku ya ndege kuruka katika anga ya Libya. Operesheni  hiyo itakuwa chini ya Jenerali Charles Bouchard kutoka Canada.
Mwandishi: Grace Patricia Kabogo (AFPE,RTRE,DPAE)
Mhariri: Mohamed Dahman
Mhariri: Mohamed Dahman
MISS TZ AKONGA NYOYO ZA WADAU KATIKA STYLE MOTOMOTO
Modo akiwa kazini
Mitindo
Toto la kitanzania(Geneviev Emanuel miss TZ). Akiwa jukwaani likishow-up mavituuz ya mitindo
Maandamano ya vurugu nchini Syria
Fujo zimezuka tena nchini Syria,  siku moja baada ya watu kama 20 kuuwawa katika maandamano ya kupinga  serikali, katika eneo la kusini la Deraa.
Ripoti kutoka mji ulio pwani, wa Latakia,  inasema kuwa mapambano makali ya bunduki yalitokea, na askari waliokuwa  kwenye mapaa waliwafyatulia risasi waandamanaji.
Watu waliokuwa na hasira, walichoma moto ofisi  za chama tawala cha Baath, mjini  Latakia, na katika mji wa Tafas,  kusini mwa nchi.
Serikali imesema fujo hizo zinafanywa na magengi yenye silaha, yanayojaribu kuleta mtafaruku nchini Syria.
Waandishi wa habari wanasema, maandamano hayo ni tatizo kwa Rais Bashar Assad ambaye alirithi uongozi wa nchi kutoka kwa baba ake, miaka 11 iliyopita.
KUTOKA KIJIWENI\
Vijimambo!
Wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi ulienda kwa msanii wa vichekesho Mpoki 
Wimbo bora wa RnB Nikikupata ulienda kwa msanii Ben Pol 
Kushoto ni mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya  Combinations Sound Man Water akipokea tuzo ya mwimbaji  bora wa kiume kwa niaba ya 20% kutoka kwa mkurugenzi wa Prime Time  Promotions Ltd Juhyana Kusaga.
TUZO ALIZOCHUKUWA 20% NI 
1.       Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa Mbaya
2.       Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
3.       Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume
4.       Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
5.       Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume
Wimbo bora wa Hip Hop Karibu Tena ulienda kwa msanii Joh Makini 
Mtayarishaji bora wa nyimbo Lamar 
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikishwa tuzo ilienda kwa JCB na Jay Moe
Mwenyekiti wa Tanzania mitindo house, Khadija  Mwanamboka akimkabidhi msanii wa kizazi kipya Linah tuzo ya msanii bora  wa kike, pia Linah alichukua tuzo ya msanii mpya anayechipukia
Wimbo Bora wa Reggae, What u Feel Inside - Hardmad
Kushoto ni msanii Bonta, JayMoe, Ksingo, Nikki wa Pili na Ruben 
Deepika Padukone’s Top 15 Looks
The girl next door with an edge, the leggy beauty looks effortlessly stylish whether she dons an Indian ensemble or red carpet gown. On screen, Padukone always manages to add personality to her character with her outfits.
Vogue.in celebrates the cover girl who always puts her fashionable foot forward, by showing you her best looks so far.
WEEK-END PHOTO:
                Asia Dachi akiwa pande za home kwao
 
 

 
  
  
  
  
  
  
  
  
 
No comments:
Post a Comment