Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, March 17, 2011

DIAMOND AKILI KUTUPA MBICHI KWA WEMA


r!
Msanni wa kizazi kipya alikili kuwepo kwa uhusiano wa karibu na mrembo mwenye figa matata Wema sepetu uuzi wakati akihojiwa na moja ya TV za hapa nyumbani.
Ni kweli mtu mzima anajiloweka pwachaa... juu ya mrembo huyo hii ni baada ya kuundwa kwa kampuni ya kutengeneza movie itwayo DW maana yake Diamond and Wema.


MH.WASIRA ATETEA KIBARUA CHAKE
Steven wasira
Waziri steven wasira amesema wizara yake ni ngumu na ni muhimu kwa maslai ya taifa zima kwa jumla Hii imetoka na kauli ya viongozi  wa chama pinzani kudai wizara hiyo haina kazi muhimu na ipo kichama zaidi pia mzee wasira alifafanua kuwa wananchi wa bunda wasimlaumu kwa ukame uliopo jimboni kwake kwani swala la mvua liko nje ya kazi ya ubunge


CUF NA NCCR VYAMA VINAVYOELEKEA KUPOTEZA MVUTO WA KISIASA
Ile hali ya sitofahamu hatma ya vyama vya siasa vya CUF na NCCR dhidi ya wapiga kura 2015.Ukweli ni kwamba nyinyi ni vyama pinzani na sio chama tawala na kwanini mnakipinga chama cha CHADEMA ambacho ni wapinzani wenzetu na kusahau wajibu wenu kukipinga tawala.Ni dhamila kuwa mvuto wa vyama hivi viliwahi kutikisa nchi lakini siku hizimmekuwa kisiasa kuiandama CHADEMA


Mustafa Hassanali invited Origin Africa “Fibre to Fashion” Event 2011
Launch of ‘Serengeti’ collection in Mauritius
Origin Africa, source Tanzania aimed to promote Tanzanian Textile and tourism industry
Tanzania’s own renowned pan African designer Mustafa Hassanali has been invited to the Origin Africa “Fibre to Fashion” Event 2011 to be held from the 16-18 March 2011 in Mauritius. Fresh from Showcasing at the Arise Magazine Fashion Week in Lagos, Nigeria, Mustafa Hassanali will now unveil His second Collection for the year 2011 in Mauritius together with 20 other designers from the African continent.

“I am so very much looking forward to launch my neo collection in the Indian Ocean island of Mauritius, another first for Mustafa Hassanali and Tanzania at this International event aimed at bringing stakeholders from the Textile and fashion Industry including buyers and press from across the globe. ” stated Mustafa Hassanali

Mustafa Hassanali will unveil his new collection named “Serengeti” in Mauritius; the collection has been inspired by the wilderness of the Serengeti plains, the flora and fauna of Tanzania famed tourist destination, “Serengeti” The brown hues of the dust ruffled up by the wild beast migration to the flaky mud on the elephant. The florals of the dry savannah bring the sense of tranquility away from the hustle and the bustle of a metropolis.

“Serengeti” truly defines Tanzania as not only a Touristic destination but also potentially a place to source Tanzania, Originally made in Africa Textile and garments

“As per my tagline, if your ensemble isn’t embellished with bling and your gown don’t have a trail, that’s not a Mustafa Hassanali gown, this collection is a ready to wear collection that has been made using cotton made in Tanzania’s blended with Tanzanian fabric “Kitenge” whose floral print entice the serene serendipity of Serengeti .” concluded Hassanali.

ABOUT MUSTAFA HASSANALI

Mustafa Hassanali, a creative entrepreneur believes in the ‘never say die’ attitude and uses his talent and creativity in making a better today and tomorrow for the fashion fraternity along various social causes very close to his heart. Mustafa is truly a fashionista personified!

Mustafa’s work has been highly appreciated at international levels. His showing at the Arise Magazine Fashion Week 2011, Fashion Business Angola 2010, FAFA (Festival of African Fashion and Arts in Kenya) 2010, Africa Collection in Douala, Cameroon 2010, India International Fashion Week 20009, Naomi Campbell’s Fashion for Relief 2009, Arise Africa Fashion week 2009, Durban & Cape Town Fashion Weeks, Vukani Fashion Awards in Pretoria, Miss Ethiopia Beauty Pageant, Mediterranean Fashion Festival in Sicily, Italy; M’Net Face of Africa, Mozambique, Uganda & Kenya Fashion Weeks has brought him immense adulation.

ABOUT ORIGIN AFRICA “FIBRE TO FASHION” EVENT

The Fiber to Fashion Mauritius event from 16-18 March 2011, held in collaboration with the Mauritius Export Association (MEXA) and Enterprise Mauritius, will highlight the creativity and innovation of the African cotton, textile and clothing industries, and raise the profile of the continent as a source of supply of cotton, textile products, fabrics and clothing.

 This world class event will bring together business leaders and decision makers from 20 countries across Africa, providing opportunities for international buyers to establish contacts with African designers and industry, and to do business.

No comments: