Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Bunge
la
Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Ferdinand Shija umewasili nchini
leo ikiwa ni siku saba tangu afikwe na umauti Oktoba 4, 2014. Shija
aliyezaliwa Aprili 28, 1947 na kufariki Oktoba 4, 2014.Imeandikwa na Father Kidevu.
Shija amewahi kuwa mbunge wa CCM wa jimbo la Sengerema toka
mwaka 1990 hadi 2005. Alichaguliwa katika kikao cha 52 cha bunge hilo
linalowakutanisha wawakilishi 700 kutoka mabunge ya nchi zilizo wanachama wa
Jumuiya ya Madola.
Miongoni mwa viongozi waliofika kumpokea ni Pamoja na Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba, Mama Kate Kamba, maofisa wa mbalimvbali wa Bunge na ndugu jamaa na maafiki.
Miongoni mwa viongozi waliofika kumpokea ni Pamoja na Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba, Mama Kate Kamba, maofisa wa mbalimvbali wa Bunge na ndugu jamaa na maafiki.
Sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Dk. Willium Shija.
Maaskari wa Bunge wakifunika Sanduku lililohifadhi mwili wa marehemu.
Getrude Shija akifarijiwa na ndugu jamaa na marafiki uwanjani hapo.
Mjane
wa aliyekuwa,Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA), Dk
William Shija, Getrude Shija (katikati) akisaidiwa na marafiki zake,
Elizabeth Cheyo (kushoto) na Anna Abbdalah baada ya kuwasili na mwili wa
muwe jana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA) Dar es
Salaam.
Gari lililosafirisha mwili wa marehemu kutoka Uwanjani hadi nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment