 Askari wa kutuliza ghasia (FFU)  wakifyatua mabomu ili kuwatawanya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es  Salaam, waliokuwa wakiandamana leo asubuhi kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu  kwa ajili ya kufikisha malalamiko yao ya posho ya Sh 5,000/ ambayo  wanadai ni ndogo haitoshi kwa matumizi na badala yake wanaishinikiza  Serikali kuwapa Sh. 10,000/=. Hata hivyo maandamano hayo yaliishia  maeneo ya Savei baada ya kukuta ukuta wa polisi hao umetanda Barabarani  huku wakitoa matangazo ya kusitisha maandamano hayo na kutawanyika,  baada ya kutoa matangazo hayo na wanafunzi hao waliendelea kuwa maeneo  hayo huku wakiimba ndipo askari hao waliamuliwa kuanza kufyatua mabomu  ili kuwatawanya. Katika tukio hilo hakuna aliyejeruhiwa ila ni wanafunzi  wachache tu waliokamatwa.

 Bomu la  machozi limeshaachiwa hapa likianza kufyatuka...

 Wanafunzi hao wakitawanyika kwa  kukimbia kila mtu na njia yake baada ya mabomu kuanza kufyatuliwa.

 Wanafunzi hao wakiandamana, kutoka chuoni...

 Wakiwa na mabango yao yenye ujumbe kuhusu kile  wanachodai na wasichohitaji.

 Safari ilikuwa ni ndefu huku  wakitembe, kukimbia na kuimba ili kuifanya safari hiyo kuwa fupi zaid  lakini waaapi, iliishia karibu zaidi.

 Maandamano bado yalikuwa yakiendelea kutokea chuoni hapo.

 Mkusanyiko ulianza kama hivi...
 Mkusanyiko ulianza kama hivi...
HII NDIYO HALI HALISI YA VURUGU NCHINI MISRI 
Wafuasi wa Rais wa Misri, Hosni Mubarak  wamekabiliana na waandamanaji wanaomtaka kiongozi huyo aondoke  madarakani katikati mwa mji wa Cairo. Maelfu ya wafuasi wa Bw Mubarak walimiminika  kwenye eneo la Tahrir na kuondoa vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na  waandamanaji.
Maelfu ya wafuasi wa Bw Mubarak walimiminika  kwenye eneo la Tahrir na kuondoa vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na  waandamanaji.
 Pande hizo mbili zilirushiana maneno kabla ya  kuanza kurushiana mawe. Kuna Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema  maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia walikuwa miongoni mwa  baadhi ya wafuasi wa Bw Mubarak waliojitokeza katika eneo la Tahrir.

 Athari za vurugu hizo.watu wengi wamejeruhiwa sababu ya haki,haki iko wapi...??

 Waandamanaji wanataka Rais Hosni Mubarak  aondoke madarakani baada ya kutawala kwa muda wa miaka 30.Hii ni dalili ya kuchoshwa na utawala wa mabavu,mmoja wa waandamaji akiwa anaonyesha picha ya raisi huyo.

 Mjini Cairo kwenyewe helikopta za kijeshi  zimeendelea kuzunguka angani karibu na bustani ambapo maelfu ya watu  walikusanyika licha ya amri ya kutotoka nje usiku iliyotangazwa na  serikali.

No comments:
Post a Comment