 Mtunga  Sheria ndiyo mvunja Sheria, hapa nia askari Polisi ambao wao huwa wa  kwanza katika kutoa elimu ya Usalama Barabarani, na hasa kwa waendesha  pikipiki kutopakia abiri zaidi ya mmoja ili kuepuka ajali, lakini wao  cheki walivyopakiana kana kwamba sheria ya usalama Barabarani wao  haiwahusu kabisaaa.
 Mtunga  Sheria ndiyo mvunja Sheria, hapa nia askari Polisi ambao wao huwa wa  kwanza katika kutoa elimu ya Usalama Barabarani, na hasa kwa waendesha  pikipiki kutopakia abiri zaidi ya mmoja ili kuepuka ajali, lakini wao  cheki walivyopakiana kana kwamba sheria ya usalama Barabarani wao  haiwahusu kabisaaa. Gari ndogo kama hii hebu cheki hii lumbesa iliyopakia je itafika kweli??
 Gari ndogo kama hii hebu cheki hii lumbesa iliyopakia je itafika kweli?? 
 



No comments:
Post a Comment