Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, February 14, 2011

VALENTINES DAY YAENDA VIBAYA KWA MAMA SALMA KIKWETE

 MTU mmoja amefariki na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyoyahusisha magari matatu likiwemo lililokuwa likiongoza msafara wa mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 9.00 alasiri katika maeneo ya Ruvu karibu na Shule ya Msingi Ruvu Darajani, mkoani Pwani.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu jana kamanda wa polisi mkoa wa Pwani, Absalom Mwakyoma, alisema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Moro Best lenye namba za usajili T 237 BHC kuligonga gari la abiria aina ya Toyota Hiace lenye namba T 810 BBT lililokuwa likitokea Msata kwenda Dar es Salaam na kusababisha watu 13 kujeruhiwa.
“Mara baada ya kuigonga gari hiyo basi hilo lililokuwa likitokea Mpwapwa kwenda Dar es Salaam lilihama upande wa pili wa barabara na kuligonga gari la Escort aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba T 849 AKP na kusababisha kifo cha mtu mmoja,” alisema Mwakyoma.
Kwa mujibu wa kamanda huyo, aliyefariki ni mmoja kati ya maofisa usalama waliokuwa wakisindikiza msafara huo.
Aliongeza kuwa baada ya ajali hiyo kutokea dereva wa Moro Best aliyetajwa kwa jina la Abdul au Majeshi alikimbia lakini baadaye jioni alikwenda kujisalimisha polisi.


UNIQUEENTERTZ  TOP 40 GORGEOUS WOMEN 2010

29. Jennifer Lopez


28. Heidi Klum

27. Ashley Greene


26. Angelina Jolie

25. Cheryl Cole

 Post image for Cheryl Cole Collapse Airs On X Factor

24. Kelly Brook

Kelly Brook Poster

23. Beyonce

22. Megan Fox

21.Jessica Alba

SO WASOMAJI NA WAFATILIAJI WA TOP 40 HIZI KAMA LIVOONA LAST WEEK NA WIKI HII NDIVO TUNAVOSOGEA KUMPATA NAMBA MOJA ,ENDELEA KUFATILIA KILA SIKU

No comments: