SHENA MILLER NA JUDE LAW WAACHANA RASMI
SIENNA MILLER and Jude Law have announced their separation.
"I can confirm that Sienna Miller and Jude Law are no longer in a relationship," a spokesperson for Miller told us this morning.
The two met on the set of Alfie in 2003 and separated three years later. They reunited in late 2009 - appearing together publicly for the first time at the Met Ball in New York in May, 2010 - but are understood to have split several weeks ago.
"It was entirely an end-of-the relationship decision," a friend of the couple told People magazine. "It had run its course. It is mutual and amicable and they are still friends."
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk.  Shukuru Kawambwa, akiwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es  Salaam, wakati alipokutana nao leo Chuoni hapo kwa ajili ya kusikiliza  malalamiko yao. Wanafunzi hao walitawanywa na askari kwa kutumia mabomu  baada ya kuanza kuwashambulia askari kwa mawe na chupa za maji kutokana  na hasira za kutopewa majibu yanayoridhisha kuhusu madai yao, baada ya  mkutano huo.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk.  Shukuru Kawambwa, akiwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es  Salaam, wakati alipokutana nao leo Chuoni hapo kwa ajili ya kusikiliza  malalamiko yao. Wanafunzi hao walitawanywa na askari kwa kutumia mabomu  baada ya kuanza kuwashambulia askari kwa mawe na chupa za maji kutokana  na hasira za kutopewa majibu yanayoridhisha kuhusu madai yao, baada ya  mkutano huo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk.  Shukuru Kawambwa, akiondoka eneo la mkutano akiwa chini ya usimamizi wa  Polisi baada ya kumaliza kuwahutubia wanafunzi hao.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk.  Shukuru Kawambwa, akiondoka eneo la mkutano akiwa chini ya usimamizi wa  Polisi baada ya kumaliza kuwahutubia wanafunzi hao.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Dar es Salaam, wakimbeba mwenzao kumkimbiza hospitali kwa  ajili ya kupatiwa matibabu kutokana na  kujeruhiwa na Bomu la machozi  baada ya askari wa kutuliza ghasi (FFU) kuanza kufyatua mabomu ili  kuwatawanya wanafunzi hao waliokuwa wakirusha mawe na chupa za maji  baada ya mkutano huo.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Dar es Salaam, wakimbeba mwenzao kumkimbiza hospitali kwa  ajili ya kupatiwa matibabu kutokana na  kujeruhiwa na Bomu la machozi  baada ya askari wa kutuliza ghasi (FFU) kuanza kufyatua mabomu ili  kuwatawanya wanafunzi hao waliokuwa wakirusha mawe na chupa za maji  baada ya mkutano huo.   Mwanafunzi huyo akiwa na jeraha mgongoni baada ya kupigwa na  bomu la machozi.
Mwanafunzi huyo akiwa na jeraha mgongoni baada ya kupigwa na  bomu la machozi. Wanafunzi wakimuokoa mwenzao baada ya  mabomu hayo.
 Wanafunzi wakimuokoa mwenzao baada ya  mabomu hayo. Baadhi ya wanafunzi wakijaribu kukimbia  bila mwelekeo baada ya Askari wa kutuliza ghasia (FFU) kuanza kufyatua  mabomu chuoni hapoa.
Baadhi ya wanafunzi wakijaribu kukimbia  bila mwelekeo baada ya Askari wa kutuliza ghasia (FFU) kuanza kufyatua  mabomu chuoni hapoa. " Duh! Watoto wananitoa jasho hawa  sijui nifanyeje hapaaaa!"
" Duh! Watoto wananitoa jasho hawa  sijui nifanyeje hapaaaa!" Wanafunzi hao wakipanda juu ya paa  kuwahi nafasi kabla ya waziri kuwasili eneo hilo.
 Wanafunzi hao wakipanda juu ya paa  kuwahi nafasi kabla ya waziri kuwasili eneo hilo. Sehemu ya umati wa wanafunzi hao  wakiwa eneo la mkutano.
 Sehemu ya umati wa wanafunzi hao  wakiwa eneo la mkutano. "Hapa hadi kielewekw" Jamaa akiwa na  bango lenye Ujumbe wa Waziri, wakati wakimsubiri awasili Chuoni hapo.
 "Hapa hadi kielewekw" Jamaa akiwa na  bango lenye Ujumbe wa Waziri, wakati wakimsubiri awasili Chuoni hapo.
 Wanafunzi wakitoa huduma ya kwanza kwa  mwenzao mwanadada aliyeanguka ghafla na kupoteza fahamu kutokana na  mabomu yaliyorindima Chuoni hapo baada ya mkutano na Waziri wa Elimu.
 Wanafunzi wakitoa huduma ya kwanza kwa  mwenzao mwanadada aliyeanguka ghafla na kupoteza fahamu kutokana na  mabomu yaliyorindima Chuoni hapo baada ya mkutano na Waziri wa Elimu. Baadhi ya wanafunzi wakijificha katika  majani kukwepa moshi na mabomu yaliyorindima chuoni hapo  baada ya  mkutano na Waziri wa Elimu.
 Baadhi ya wanafunzi wakijificha katika  majani kukwepa moshi na mabomu yaliyorindima chuoni hapo  baada ya  mkutano na Waziri wa Elimu. " Jamani twaaafwaaaaaa" wanadada  wakijificha peupeeeee wakizani wapo kichakani baada ya kuanza kwa mabomu  hayo.
" Jamani twaaafwaaaaaa" wanadada  wakijificha peupeeeee wakizani wapo kichakani baada ya kuanza kwa mabomu  hayo. Hawa nao hivyo hivyo......
 Hawa nao hivyo hivyo...... Magari ya Polisi yakigongana baada ya  kutokea mkanganyiko wakati wakijaribu kuondoka eneo hilo la Chuo huku  wakishambuliwa kwa mawe na chupa za  maji na wanafunzi.
 Magari ya Polisi yakigongana baada ya  kutokea mkanganyiko wakati wakijaribu kuondoka eneo hilo la Chuo huku  wakishambuliwa kwa mawe na chupa za  maji na wanafunzi.
Kumezuka mapambano mengine Sudan Kusini, ndani ya jeshi la taifa la Sudan, ambapo watu wasiopungua 30 wamethibitishwa kufariki.
SIENNA MILLER and Jude Law have announced their separation.
"I can confirm that Sienna Miller and Jude Law are no longer in a relationship," a spokesperson for Miller told us this morning.
The two met on the set of Alfie in 2003 and separated three years later. They reunited in late 2009 - appearing together publicly for the first time at the Met Ball in New York in May, 2010 - but are understood to have split several weeks ago.
"It was entirely an end-of-the relationship decision," a friend of the couple told People magazine. "It had run its course. It is mutual and amicable and they are still friends."
*WAZIRI KAWAMBWA AKUTANA NA WANACHUO UDSM, HAKIJAELEWEKA MABOMU YARINDIMA
Kumezuka mapambano mengine Sudan Kusini, ndani ya jeshi la taifa la Sudan, ambapo watu wasiopungua 30 wamethibitishwa kufariki.
Jeshi la SPLM katika mkutano  wa kuleta amani, Rumbek 2005
Hii ni baada ya wanajeshi kutoka Sudan Kusini kukataa kusalimisha silaha zao na kupelekwa upande wa kaskazini, kulingana na mkataba wa amani wa mwaka wa 2005.
Mapigano hayo ambayo yalisambaa kwenye maeneo mengine yanatokea kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mwisho ya kura ya maoni iliyofanyika mwezi uliopita ambayo itathibitisha uhuru wa eneo la kusini.
Serikali ya jimbo hilo, ilisema hali katika Malakal kwa hivi sasa ni shuwari.
BODABODA ZITATUVUNJA MIKONO LAKINI BADO TUTAENDESHA TU!

A motorcyclist received a caution from police officers in China - for riding with no arms. Officers in Jimo, Shandong province, stopped the motorcycle for being overloaded - but were shocked when they saw the driver, reports the Qilu Evening Post. Liu, 27, lost both arms at
WAPARESTINA WATUA KUCHABAGWA NA TAIFA STARS
Cameron's LFW
SAMANTHA CAMERON will play an important role at London Fashion Week, which kicks off next Friday. She was appointed as a British Fashion Council ambassador in September last year.
"She is going to host some receptions for us at 10 Downing Street and I am also hoping she will join me in making the opening speech," says BFC chairman Harold Tillman.Tillman was full of praise for the stylish First Lady, who couldn't attend last season's LFW due to the birth of her youngest daughter, Florence.
"Samantha has taken to the role so well and is such a natural, it is almost as though she is this first and the Prime Minister's wife second," he tells the Telegraph.
YOU SHOULD SEE: How Samantha Cameron celebrated Christopher Kane's Fashion Fund win...
Watu wanne wameuwawa nchini Tunisia
Watu wasiopungua wanne wameuwawa  nchini Tunisia, wakati polisi walipowafyatulia risasi waandamanaji,  katika mji wa Kef, kaskazini mashariki mwa nchi.
Maandamano  Tunisia
Maafisa waliwafyatulia risasi umati mkubwa wa waandamanaji waliokusanyika nje ya kituo cha Polisi na kuwasha moto, wakitaka mkuu wa kituo hicho kujiuzulu.
Imeripotiwa mamia ya waandamanaji walikusanyika nje ya kituo hicho cha Polisi mjini kef kufuatia taarifa kwamba kamanda wa polisi alimpiga kibao mwanamke mmoja, hatua iliyowakera zaidi, na wakawa wanajaribu kulivamia jengo hilo.
Tukio hili la nchini Tunisia linafuatia amri ya kutotoka nje iliyotangazwa na serikali baada ya maandamano yaliyomlazimisha Rais Ben Ali kuacha madaraka, na baadaye muda wa amri hiyo ukapunguzwa kwa saa mbili.
Wanafunzi wa Tunisia waunga mkono raia  wa Misri
 
 


No comments:
Post a Comment