AGIZO la Waziri wa Ujenzi John Magufuli  la kuweka alama za x  mabango yote yaliyoko kandokando ya barabara na kutaka yaondolewe  imepingwa vikali na halmashauri zote za jiji na kuamua kulifikisha suala  hilo katika ofisi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Raphael Ndunguru, alisema wanajaribu kuangalia suala hilo kisheria ili kuona waliotekeleza hayo wana mamlaka yapi.
Alisema walikutana katika kikao cha pamoja na manispaa za Ilala na Temeke na kuzungumzia chanzo hicho cha mapato kwa halmashauri na yamewekwa kwa kuzingatia kanuni na taratibu.
Ndunguru alisema mwanzoni mwa wiki iliyopita waliamua kulifikisha suala hilo kwa Waziri Mkuu kwa kuwa halmashauri hizo ni sehemu ya serikali hivyo walistahili kukutana na wizara hiyo ili kujadiliana.
“Hatukutendewa sawa mabango yale hayawezi kuchangia kutokea kwa ajali wala si uchafu bali yanapendezesha mji …..lakini kitendo cha kuyaweka alama ya x ndicho kilichosababisha uchafu na tumekubaliana kutoyaondoa kabisa,” alisema.
Kwa upande wake, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, alisema wanatarajia kutoa tamko kwa kuwa si kitendo cha kiungwana kilichofanywa cha kuweka alama ya x, kwani mabango hayo ndicho chanzo kikuu cha mapato.
“Kama kulikuwa na tatizo basi sisi ni sehemu ya idara ya serikali tungekaa na kujadiliana na si kuweka uchafu kama walivyofanya,” alisema.
Pia Mkurugenzi Mtendaji wa ZEK Group International, Edwin Sannda, wa kampuni zinazojihusisha na uwekaji mabango ya matangazo nchini, amemshauri Waziri Magufuli kusitisha agizo lake la kutaka mabango yaliyoko kandokando ya barabara kuong’olewa badala yake akutane na wadau wote ili kujadiliana juu ya mfumo unaofaa kwa nia ya kuepuka usumbufu na athari ambazo zimeanza kujitokeza.
Mwishoni mwa mwaka jana, Dk. Magufuli alitoa maelekezo kuwa hataki kuona katika hifadhi ya barabara mabango ya matangazo kwa madai kuwa ni chanzo cha ajali.
Agizo hilo lilifuatiwa na uwekaji alama ya X kwenye mabango na mengine kuondolewa au kuharibiwa bila wahusika kupewa notisi au kushirikishwa.
WATU 65 WAUWAWA KWA TETEMEKO NEW ZEALAND
 
WELLINGTON, New Zealand — A 6.3-magnitude earthquake rocked the southern New Zealand city of Christchurch Tuesday, killing dozens, collapsing buildings and cracking streets.
Prime Minister John Key said at least 65 had died as a result of the disaster and told reporters that the death toll was expected to rise further. "It is a just a scene of utter devastation," he added.
Television footage showed streets strewn with bricks and shattered concrete. Sidewalks and roads were cracked and split, and hundreds of dazed, screaming and crying residents wandered as sirens blared throughout the city.
Bodies were being pulled from rubble, others lay in the streets. Water mains burst, causing extensive flooding

Ujumbe wa Muungano wa Afrika unaozuru Ivory Coast unatarajiwa kurudia matakwa yao kumtaka Bw Gbagbo ajiuzulu.Ivory
WAKE WA VIGOGO WATEMBELEA WAHANGA WA MABOMU
 
6 wauwa katika vurugu Ivory Coast
Vurugu imekuwa ikishuhudiwa nchini Ivory Coast tangu mwaka uliopita.
Takriban watu sita wameripotiwa  kufa nchini Ivory Coast Jumatatu iliyopita wakati wanajeshi  waliwafyatulia risasi waandamanaji katika mji mkubwa zaidi, Abidjan.
Walioshuhudia wanasema wanajeshi watiifu kwa  kiongozi aliye madarakani, Laurent Gbagbo, waliwapiga risasi wafuasi wa  Alassane Ouattara, kiongozi wa upinzani anayetambulika na jamii ya  kimataifa kama aliyeshinda uchaguzi wa urais wa mwaka uliopita.Ujumbe wa Muungano wa Afrika unaozuru Ivory Coast unatarajiwa kurudia matakwa yao kumtaka Bw Gbagbo ajiuzulu.Ivory
WAKE WA VIGOGO WATEMBELEA WAHANGA WA MABOMU
MKE  WA  WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda jana mchana (Jumatatu, Februari 21,  2011)  amewaongoza wake wa viongozi mbalimbali wa kitaifa kutoa msaada  kwa watu  waliopata maafa kutokana na mlipuko wa mabomu ya Gongo la  Mboto,  wilayani Ilala jijini Dar es Salaam.  
Akitoa   taarifa kwa niaba ya akinamama hao 26 walioambatana naye, Mama Pinda   alisema wao kwa niaba ya wake wengine wa viongozi ambao wameshindwa   kufika kutokana na majukumu mengine, wameguswa na tukio hilo na wanawapa   pole waathirika wote kwa maafa yaliyowapata.
“Tunatambua   kuwa kuwa wako waliofariki, waliopoteza wapendwa wao na waliopata   ulemavu na wengine waliopoteza mali katika tukio hili... wote tunawapa   pole na kumuomba Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu,“   alisema. 
Alisema   wanatoa pole kwa wote lakini zaidi kwa akinamama kwa sababu wao ndiyo   wanahangaika zaidi majanga yanapotokea ikiwemo kukimbia na watoto au   ndugu wasiojiweza.
Misaada   iliyotolewa ni kilo 200 za mchele, kilo 100 za sukari, kilo 500 za  unga  wa mahindi, mafuta ya kujipaka katoni moja, sabuni za kufulia  katoni  moja, dawa za meno katoni moja, doti za khanga 55 ambayo ina  thamani ya  sh. milioni 1.5/-. Pia walitoa mabegi matatu ya nguo za  wakubwa na  watoto ambazo thamani yake haikuweza kupatikana mara moja.
Akipokea   misaada hiyo, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Meck Sadick,   aliwashukuru viongozi hao na kuwaahidi kuwa itakabidhiwa kwa Kamati ya   Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambayo itavigawa vifaa hivyo kwa wahusika.
Wake   hao wa viongozi walitembelea pia Hospitali ya Wilaya ya Temeke ambako   Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Mariam Malliwa aliwaeleza   kwamba hivi sasa wamebaki wagonjwa wawili tu ambao wanaendelea vizuri.   Alisema mlipuko ulipotokea walipokea wagonjwa 139, ambao sita   walipelekwa Muhimbili, 129 walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani   lakini wawili walifariki.
 
No comments:
Post a Comment