Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, August 19, 2013

BIBI KIZEE AKAMATWA UCHAWI BAADA YA KUDONDOKA SAA MBILI USIKU


 
Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema.
  Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.
Watu waliokusanyika kumshangaa.  BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama anavyoonekana pichani.

No comments: