Ikiwa
ni siku chache baada ya mwnamke mmoja mkazi wa kahama
kubakwa na kutobolewa macho huku akichomekwa kisu sehemu zake
za siri, mitandao ya kinigeria nayo imeripoti unyama kama
huo.....
Kwa
mujibu ya mitandao hiyo, unyama huo unadaiwa kutendwa kwa
binti wa miaka 23 ambaye alibakwa na kundi la wanaume na
kisha kumchomeka miti sehemu za siri na kumtoboa macho....TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI
No comments:
Post a Comment