Abdul Kiba,msanii wa muziki wa
bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tabora
waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta
2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani
humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa
nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na
kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua
kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Sehemu ya umati wa mji wa Tabora
waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta
2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Msanii wa muziki
wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia mbele ya wakazi wa mji wa
Tabora waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani
humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa
nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na
kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua
kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Msanii wa muziki wa kizazi
kipya,Linah pichani kati akiwa na madensa wake wakitumbuiza jukwaani
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Sehemu ya umati wa mji wa Tabora
waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta
2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Anaitwa Amin,mmoja wa wasanii
mahiri akiwaimbisha mashabiki wake kwenye u kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi
mkoani humu. Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani
hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na
kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua
kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Wenyewe mashabiki waki wanamuita
Baba Levo na yeye kabaki Levo kwenye gemu ya muziki wa bongofleva,ndiye
pichani Baba Levo akiwaimbisha mashabiki wake kwenye tamasha
la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani
Tabora.
Ni shwangwe tu usiku huu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Wakali wa kudansi kutoka
THT,wakijulikana kwa jina la Makomanda wakionesha umahiri wao wa kucheza
jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Wanamuita Mzee wa
Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake wa muziki wa dansi
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,liinalofanyika usiku huu
kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi.
Sehemu ya umati wa
wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013 wakiwa wamewasha tochi za simu zao wakiashiria
kushoo love ya pamoja
Msanii wa muziki wa
bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa madensa wake,huku
mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha kukunwa vilivyo na
msanii huyo.
No comments:
Post a Comment