Baada ya msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum
kutajwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya waziri wa Uchukuzi
Mwakyembe atoa agizo msanii huyo aanze kuchunguzwa.
Msanii huyo leo ameripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kujihusisha
na dawa za kulevya.Uchunguzi huo utahusisha kuangalia vyanzo vyake vya
mapato kama vinaendana na matumiz yake, wakati inasemekana akaunti za
diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida
cha wasanii.
Hali hiyo imetokana na vugu vugu la kujaribu kuisafisha tanzania
kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na
yakipee. Mh mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga,
moja kati ya majina yanayosemekana ya wauza unga/punda ambayo yapo ktk
kitengo internal intelligency lipo jina la msanii diamond.
Inasemekana diamond anaurafiki wa karibu na mabosi wa masogange, ambao
wengine wapo nchini Afrika Kusini .kamera za cctv za uwanja wa wa ndege
wa kitaifa JNA zimekuwa zikionesha ukaribu wa diamond na wale watu
waliotajwa na waziri kuwa walimsaidia masogange kupitisha mzigo.
Pia safari za kimuziki sehemu mbalimbali duniani ambazo nyingi
hupangwa/kutafutwa na vigogo wa madawa ya kulevya waliopo tanzania na
wale waliopo Afrika Kusini .
Wakati pia sasa serikali inajaribu kuchunguza akaunti za diamond ambazo
zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii.
Uchunguzi bado unaendelea, lakini diamond amekanusha kuhusika na sembe
No comments:
Post a Comment