fULL MZUKA HAKUNA ALIEFUNIKWA JANA SUGU NA FABOLOUS NGOMA DROO KWA WATU.
lAZIMA TUKUBALI SUGU NI SUGU TU HAKUWA NA MDHAMINI LAKINI KAFUNIKA ILE MBAYAAA
Mwanamuziki
wa hip hop toka nchini Marekani Fabolous akikamua kwenye tamasha hilo
lililo hapen katika viwanja vya Leaders jijini Dar na kuhudhuriwa na
bonge la nyomi

Msanii wa Hip hop toka bongo land Jay Mo akikamua sanjari na mwana hip hop mwenzie Mchizi Mox

Simba mzee, Mfalme asiyevuliwa taji Selemani Msindi aka Afande Sele alikosha kisasawa mashabiki walo hudhuria tamasha hilo.
Masoja Long time kitambo wanaitwa Gangwe Mobb.
No comments:
Post a Comment