Legendary rapper Heavy D died earlier this afternoon at the young age of 44.
The unfortunate news broke when hip-hop legend Grandmaster Flash tweeted "I was just told Heavy D passed away."
Heavy D was most widely known for his role in the hip-hop group Heavy
D & The Boyz, which included G-Whiz "Trouble" T. Roy, and Eddie F.
From on-stage nudity to over the top outfits, this year's EMA
awards held in Belfast gave the audience a lot more to enjoy than just
music.
Katy Perry and Jeremy Scott
Pulling out all stops, expectedly, Lady Gaga chose to wear Manish
Arora’s debut collection for Paco Rabbane. Jessie J too went the Indian
path with her Falguni & Shane Peacock floor length dress. Holding
the flag for American brands, Bar Rafaeli wore a custom-made Republic
dress while Hayden Panettiere opted for a floral TIBI mini dress.
Lady Gaga
While the host Selena Gomez changed her outfit a number of times, our
favourite was her red carpet look in an age-appropriate Marchesa dress.
Here our list of some of the best outfits at his year's award ceremony.
KOCHA WA MCHEZO WA NGUMI SUPER D KUDHURIA KOZI YA KIMATAIFA YA NGAZI YA JUU YA MCHEZO HUO
KOCHA
wa timu ya ngumi ya Ashanti ya Ilala na Mkoa wa Kimchezo Ilala, Rajabu
Mhamila 'Super D', ameteuliwa kuhudhuria mafunzo ya ngumi yaliyoandaliwa
na Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) kwa kushirikiana na
Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
Miongoni mwa makocha wa ngumi
watakaoshiriki mafunzo hayo, ni mpiga picha wa Magazeti ya Business Time
inayochapicha Magazeti ya Majira, Sports Starehe na jarida la Maisha,
Mhamila ambaye maarufu kwa jina la Super D.
Super D mbali na kuwa kocha wa ngumi na mpiga picha, pia ni bondia wa zamani wa ngumi za ridhaa na kulipwa.
Akizungumza
Dar es Salaam juzi, Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga, alisema kozi
hiyo itawahusisha makocha wa mchezo wa ngumi nchini kuanzia Novemba 12,
mwaka huu hadi 20, ambapo itafanyika wilayani Kibaha, Pwani.
Mashaga
alisema Mkufunzi wa kozi hiyo atatoka nchini Algeria, ameteuliwa na
Chama cha Ngumi Ridhaa cha Dunia (AIBA), ambapo makocha 30 kutoka mikoa
mbalimbali ya Tanzania Bara, wameteuliwa kushiriki.
Mashaga
alisema makocha hao wamechaguliwa kwa kuzingatia mchango wao katika
ushiriki wa matukio mbalimbali ya BFT, hasa mashindano kwa kuleta timu
au mikoa yao kushiriki mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa na BFT.
"Baadhi
ya makocha hao, walipata mafunzo ya awali yaliyoandaliwa na BFT,
watakaofuzu mafunzo haya, watatambuliwa na kuingizwa katika kumbukumbu
za AIBA," alisema Mashaga.
Alisema makocha hao wataweza
kufundisha mchezo huo popote duniani na kuruhusiwa kushiriki mashindano
yote ya kimataifa kama makocha katika mashindano yatakayoandaliwa kwa
kufuata sheria za AIBA.
Alisema kwa uzoefu wao BFT, wanategemea
mara baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo, kutakuwa na ushindani wa
uhakika kutoka kwa makocha hao.
Mashaga alisema kwa msingi huo,
wanatarajia kupata ushiriki wenye tija katika mashindano kufuzu
kushiriki katika mashindano ya Olimpiki 2012, London Uingereza.
nae
Super D aliongezea kwa kusema kozi hiyo imekuja wakati muafaka kwa kuwa
dhamira yake ni kukuza na kuendeleza mchezo wa ngumi kimataifa Super D
ambaye sasa ni muhandaaji wa nafunzo ya ngumi kwa njia ya DVD ambao huwa
anaweka matukio mbalimbali ya mapambono ya ngumi za Dunia wakiwemo
Floyd Mywherther, Manny Paquaio,Mohamedi Ali, Davidi Haye, mike Tayson
na wengine wengi DVD hizo za mafunzo zinapatikana makutano ya barabara
ya Uhuru na Msimbazi au katika kambi ya ngumi ILala na klabu ya AShanti
nayo ya Ilala.
No comments:
Post a Comment