Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, November 7, 2011

MISS WORLD 2011 AWA IVIAN SARCOS (VENEZUELA)

Miss Venezuela 2010 WinnersHATIMAYE kitendawili cha nani ataibuka Malkia wa Dunia 2011, kimeteguliwa kwa Miss Venezuela2011, Ivian Sarcos usiku wa Jumapili Novemba 6, 2011 kufanikiwa  kutawazwa kuwa Malkia Mpya wa Taji la Urembo la dunia “Miss World 2011, hulku matumaini ya Tanzania kupitia kwa Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai yakigonga mwamba kwa mara nyingine tena katika mashindano hayo.
Vanessa Andrea Goncalves Gómez was born on February 10, 1986, in Nuestra Señora del Rosario de Baruta.
Katika shindano hilo la aina yake lililofanyika katika ukumbi wa Earls Court in London, Sarcos mwenye umri wa miaka 21 alifanikiwa kuwatupa nje zaidi ya warembo 100 kutoka nchi mbalimbali Duniani katika shindano hilo ambalo lilikuwa ni la 61 tangu kuanzishwa kwake.
Nafasi ya pili ilikwenda kwa Miss Philippines 2011, Gwendoline Ruais na nafasi ya tatu ikienda kwa Miss Puerto Rico 2011, Amanda Perez.

Bara la Afrika lilifanikiwa kuingiza warembo wawili katika hatua ya makundi ya 15 bora ambapo mrembo kutoka nchini Zimbabwe na jirani zao Afrika Kusini ndio waliolitoa kimasomaso bara hilo.
Afrika tena ikabahatika kuingia katika hatua ya 7 bora ya Miss World pale mrembo kutoka Afrika Kusini alipofanikiwa kuingia katika hatua hiyo.
Shindano hilo lilianza kufanyika saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki lilipambwa na burudani mbalimbali za muziki kutoka kundi la Vijana wa Uingereza la street dance troupe Diversity, wakifuatiwa na utambulisho wa Washiriki wote wa Miss World 2011.

Shindano hilo lilifikia tamati pale Miss World 2010 Alexandria Mills alipopanda jukwaani na kumvika taji Sarcos. 
Miongoni mwa majaji wa shindano hilo alikuwa ni washindi wa taji la Miss World ambapo alikuwepo  Miss World 1976, Cindy Breakspeare , Miss World 2001, Agbani Darego kutoka Nigeria,Miss World 2007, Zhang Zilin na Miss World 2009, Kaiane Aldorino.

Aidha warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 15 bora ni kutoka nchi za Indonesia, Korea, Italy, Sweden, Zimbabwe, Kazakhstan, Ukraine, Venezuela, Philippines, US VI, Spain, Puerto Rico, Afrika Kusini, Scotland na wenyeji Uingereza.
Huku hatua ya kundi la warembo 7 bora nafasi hizo kuchukuliwa na nchi za Korea, Venezuela, Uingereza , Philippines, Puerto Rico, Afrika Kusini na Scotland.

REDD'S UNI FASHION -KILIMANJARO

Mmoja wa washiriki akipita mbele ya majaji wakati wa shindano la Redds Uni Fashion Bash lililofanyika mjini Moshi
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wwakiwa wamejipanga jukwaani wakati wa shindano hilo la fainali ilifanyika katika ukumbi wa Glaciers Inn Moshi mjini Moshi.
Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili.

Olivia Discusses Kissing Maino, New Boyfriend And Love & Hip Hop Drama

Olivia and Maino are one of those confusing couples. You just don’t know whether they are cute together or kind of odd…
On Friday, G-Unit’s former first lady turned reality TV star called into WGCI’s Tony Sculfield & The Morning Riot Show to talk about the recently released pictures of her kissing Maino. She also dished on her new boo, NBA star Tarence Kinsey, who is currently playing overseas and his reaction to the photos. Rounding out the interview, Olivia talked about ‘Love and Hip Hop and claimed that this season would definitely trump every season of any reality show you’ve ever watched.

No comments: