wanajeshi wa JWTZ wakijitaidi kuzima moto uliokuwa ukiunguza kotazi za wanajeshi ambapo chanzo cha ajali hiyo ilisemekana ni shoti ya umeme uanawaka na kukatika mara kwa mara.
Gari la zima moto lilifika baada ya saa moja toka moto uanze kuungua katika makazi ya wanajeshi hao katika kambi ya Lugalo,kama inavyoonekana pichani baadhi ya vitu vimeokolewa na wanajeshi wa JWTZ.
CHANZO CHA MATATIZO NI KUUNGUA KWA MITAMBO YA UBUNGO
Moto
mkubwa umelipuka katika kituo kikuu cha kupokelea umeme kilichopo
Ubungo, jijini Dar es Salaam jana jioni na kusababisha kuungua kwa kifaa
cha kurekebisha mwenendo wa umeme hali ambayo imeacha Jiji la Dar es
Salaam na Visiwa vya Zanzibar bila umeme. Kifaa
hicho chenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 500,000 (zaidi ya Sh.
milioni 800) kilikumbwa na hitilafu hiyo, ambapo baada ya kuanza
kuungua umeme ulizima na kufanya maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na
Zanzibar kuingia gizani. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Mkurugenzi Mte
No comments:
Post a Comment