Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, November 26, 2011

JOSE CHAMELEONE APAGAWISHA MASHABIKI WAKE

Ilikuwa ni Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving nchini Marekani ambapo muimbaji Jose Chameleone toka nchini Uganda alikamua.Mamia ya watu walifurika kuja kumuangali Msanii huyo toka Nchini Uganda kwa jina maarufu la Jose Chameleone, ana nyimbo zake, ikiwemo Mama roda, Jamila analia, na nyingi nyingi.Muziki unaponoga warembo mikono juuuu!!!Wakati mwingine warembo hupandwa na jazba ya maraha na kwa wale wanaoshindwa kujizuia hukinasa kinasa ili wapate chombeza, hapa ni mdafada akichombeza kwenye songi la 'kipepeo'.
Mambo ya utamuZz hayo cheza ni kuchezee ndani ya Rendezvous Hall nchini marekani.Wanasema muziki wako ukikubalika kwa warembo baaaasi umewini! chekshia mahudhurio.


Aj Ubao alikuwa ni mwimbaji wa pili kuimba katika onyesho hapa ni nyuma ya jukwaa akipata flash ya pamoja na mdhamini wake wapendo.Muimbaji Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone.WadadaZzzz.warembo.com ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.SNyuma ya jukwaa mwanadada Luren akipata flash.Cheza ni kuchezee na flash!!! Mwana muziki wa kizazi kimpya ndani ya Washington DC, AJ Ubao wa kwanza (kushoto) pamoja mzee wa kuwachanganya Dmk global Dickson Mkama, wa kwanza( kulia) wakiwa nyuma ya jukwaa na Jose chameleone aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki wake.

No comments: